Binafsi last week ndio ilikuwa wiki niliyokuwa nimekosa kabisa watu wa kunichangamkia, nkajiuliza sana je nimezeeka au nyota yangu imetembelewa na mtu (l'm kidding, siamini mambo ya nyota)
Si kuna watu walinichongea Avatar yangu ya awali, kumbe walikuwa wanaona donge tu! Nikaona sasa ngoja niweke miguu ya kijeshi tuone kama atasogea mtu . . . hata aje EM OOO DII nakanyaga tu π
Hivi Kimey huko usalule huwa anatongoza kweli???
Hivi kuna mtu hapa anatafuta kuchangamkiwa???
Hivi kuna mtu hapa anatafuta kuchangamkiwa???
Kule hutongozi ni dau lako tu la kuhonga
Kila mwanamke ameumbwa na hulka ya kuamini kuwa ana sifa ya uzuri. Hivyo basi wanawake tunaamini kwamba uzuri huo unaonenaka kwa nje kupitia mivuto.
Mivuto hiyo huwavuta wanaume wengine wakusalimie, wengine wapige jicho ili mradi wajiburudishe, na wale walio na ushujaa na ujasiri huwa hawasiti kukutongoza, na hapa kila mwanaume ana gia zake za kumwingia mwanamke.
Je dada mwenzangu huwa unajisikiaje ikipita wiki nzima hujasalimiwa na wavulana wenye jicho la kukutamani, hujatongozwa na wala hujasifiwa?
Binafsi last week ndio ilikuwa wiki niliyokuwa nimekosa kabisa watu wa kunichangamkia, nkajiuliza sana je nimezeeka au nyota yangu imetembelewa na mtu (l'm kidding, siamini mambo ya nyota)
Good gal!!!
Hapo mama mchungaji kaSMILE kwa ushindi!!!
Rev ntamsalimu usijali....akirudi namwangushia bonge la welkam pati...utakuwepo???
Nasema SIKUBALI N'GOOOOO . . . yaani naibiwa wakat naona??? Noooo!
tanx... mi nipo hapa tayar kuna mtu namsubiri....
:hatari::shock::bounce::lalala::rockon::bounce::car::car:
Habari yako binafsi umenionea Hashycool????
:mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::yell::yell::director::fencing::fencing::hatari::shock::bounce::lalala::rockon::bounce::car::car:
Inakuhusu nini habari yangu binafsi TF,unanitakia mema mmasai wewe??
Hashy bado amelala,live your life,yes i said it.........πlayball:
Na huyo CPU,nasema give us a break :shut-mouth: