Wiki nzima bila kutongozwa

Wiki nzima bila kutongozwa

Binafsi last week ndio ilikuwa wiki niliyokuwa nimekosa kabisa watu wa kunichangamkia, nkajiuliza sana je nimezeeka au nyota yangu imetembelewa na mtu (l'm kidding, siamini mambo ya nyota)

Yawezekana umepungua mvuto
 
hahahahaa,,,heshma juu lol,,,,
Si kuna watu walinichongea Avatar yangu ya awali, kumbe walikuwa wanaona donge tu! Nikaona sasa ngoja niweke miguu ya kijeshi tuone kama atasogea mtu . . . hata aje EM OOO DII nakanyaga tu 🙂
 
Hivi kuna mtu hapa anatafuta kuchangamkiwa???
 
Kila mwanamke ameumbwa na hulka ya kuamini kuwa ana sifa ya uzuri. Hivyo basi wanawake tunaamini kwamba uzuri huo unaonenaka kwa nje kupitia mivuto.

Mivuto hiyo huwavuta wanaume wengine wakusalimie, wengine wapige jicho ili mradi wajiburudishe, na wale walio na ushujaa na ujasiri huwa hawasiti kukutongoza, na hapa kila mwanaume ana gia zake za kumwingia mwanamke.

Je dada mwenzangu huwa unajisikiaje ikipita wiki nzima hujasalimiwa na wavulana wenye jicho la kukutamani, hujatongozwa na wala hujasifiwa?

Binafsi last week ndio ilikuwa wiki niliyokuwa nimekosa kabisa watu wa kunichangamkia, nkajiuliza sana je nimezeeka au nyota yangu imetembelewa na mtu (l'm kidding, siamini mambo ya nyota)

Kwa mtindo huu hatutaweza kuendelea kamwe!!!! Unaacha kutafakari mambo ya maana wee unawaza ngono!!!!, kaza kweli kweli!!!!!!
 
Good gal!!!
Hapo mama mchungaji kaSMILE kwa ushindi!!!

Rev ntamsalimu usijali....akirudi namwangushia bonge la welkam pati...utakuwepo???

Siwezi kosa mama Mchungaji,ntakuja na HC 😛layball:
 
Haukua na bahati last week wait this week +255713714891
 
kutongozwa kupo lakini sidhani kama ni jambo la kukaa na kuanza kufikiria umetongozwa mara ngapi labda kama huna kazi za kufanya na akili umeiweka kwenye ngono tu.
 
Habari yako binafsi umenionea Hashycool????

Inakuhusu nini habari yangu binafsi TF,unanitakia mema mmasai wewe??

Hashy bado amelala,live your life,yes i said it.........😛layball:

Na huyo CPU,nasema give us a break :shut-mouth:
 
Inakuhusu nini habari yangu binafsi TF,unanitakia mema mmasai wewe??

Hashy bado amelala,live your life,yes i said it.........😛layball:

Na huyo CPU,nasema give us a break :shut-mouth:

Ha ha ha ha lol!! swahiba wangu hashy sijamuona tokea jana bana muachie hata kidogo bana nina ujumbe muhimu wa kumpa au niupitishe kwako:car::car:
 
Back
Top Bottom