kaka we jukwaa la siasa nani anachangia? nenda kule bana l.o.l
just tryn make a life worth living!!
Una nini wewe,kule si umesema ushamchakaza,mi nimempokea,wamwitia nini tena???
Tabia za kurudishana nyuma sipendi mimi mwenzenu..............
I like ya Smile:A S kiss:Yes Kimey,if you have anything,say it......
JF.....Where we dare to talk OPENLY
Leo mpaka kieleweke :loco::loco::loco:
Nilham Just listen to my hommie...!!Since i know you are very handy i want you to take good care of NILHAM
skiliza nikwambie michelle...... Mke na mume wakigombana chukuwa jembe ukalime wakielewana chukuwa kapu ukavune,,,, we alishanambia kuwa ulikuwa uwa la njiani tuu...sasa hebu tulia kwanza...
dah! hehehe huu mziki si mdogo, acha niurekodi nikamuuzie kanumba ze great.haya.... okay hapa hapa mbele ya jamaa... nataka unambie kosa langu...na sababu iliyokufanya uumize moyo wangu si chini ya mara tatu nikiwa mimi ni mtu wa kusamehe tuu hash??eee??? nnchohitaji ni sababu tuu inayoeleweka why you have done dis to me... i was always hre whenever u need me my dear i do what u whant... now dis is my payment hash???
Leo mpaka kieleweke :loco::loco::loco:
dah! Hehehe huu mziki si mdogo, acha niurekodi nikamuuzie kanumba ze great.
haya.... okay hapa hapa mbele ya jamaa... nataka unambie kosa langu...na sababu iliyokufanya uumize moyo wangu si chini ya mara tatu nikiwa mimi ni mtu wa kusamehe tuu hash??eee??? nnchohitaji ni sababu tuu inayoeleweka why you have done dis to me... i was always hre whenever u need me my dear i do what u whant... now dis is my payment hash???
dah! hehehe huu mziki si mdogo, acha niurekodi nikamuuzie kanumba ze great.
Nilham, naomba nikutongoze.
Huyu hashy anataka kutuchanganya kama CCM na DOWANS
dah! hehehe huu mziki si mdogo, acha niurekodi nikamuuzie kanumba ze great.
huyu hashy anataka kutuchanganya kama ccm na dowans
Yaani HAELEWEKI KABISAAAA.
Utashangaa leo anaenda kulala kwa NILHAM π
michelle can you kindly answer this lol!!!