Wiki nzima bila kutongozwa

Wiki nzima bila kutongozwa

skiliza nikwambie michelle...... mke na mume wakigombana chukuwa jembe ukalime wakielewana chukuwa kapu ukavune,,,, we alishanambia kuwa ulikuwa uwa la njiani tuu...sasa hebu tulia kwanza...
Una nini wewe,kule si umesema ushamchakaza,mi nimempokea,wamwitia nini tena???

Tabia za kurudishana nyuma sipendi mimi mwenzenu..............
 
skiliza nikwambie michelle...... Mke na mume wakigombana chukuwa jembe ukalime wakielewana chukuwa kapu ukavune,,,, we alishanambia kuwa ulikuwa uwa la njiani tuu...sasa hebu tulia kwanza...

michelle can you kindly answer this lol!!!
 
haya.... okay hapa hapa mbele ya jamaa... nataka unambie kosa langu...na sababu iliyokufanya uumize moyo wangu si chini ya mara tatu nikiwa mimi ni mtu wa kusamehe tuu hash??eee??? nnchohitaji ni sababu tuu inayoeleweka why you have done dis to me... i was always hre whenever u need me my dear i do what u whant... now dis is my payment hash???
dah! hehehe huu mziki si mdogo, acha niurekodi nikamuuzie kanumba ze great.
 
I was never one to patiently pick up
broken fragments
and glue them together again
and tell myself that
the mended whole
was as good as new.
What is broken is broken
and I'd rather remember
it as it was at its best
than mend it and see the
broken places as long as I lived.L.O.L
 
haya.... okay hapa hapa mbele ya jamaa... nataka unambie kosa langu...na sababu iliyokufanya uumize moyo wangu si chini ya mara tatu nikiwa mimi ni mtu wa kusamehe tuu hash??eee??? nnchohitaji ni sababu tuu inayoeleweka why you have done dis to me... i was always hre whenever u need me my dear i do what u whant... now dis is my payment hash???

Nilham, naomba nikutongoze.
 
Back
Top Bottom