The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
kaka can you be of a kind to let me handle this? L.o.l
ushafika kloro????
Duuuh! Naona leo una kazi moja tu, KU-MIX DVD za Juke Box . . . lol 🙂
I was never one to patiently pick up
broken fragments
and glue them together again
and tell myself that
the mended whole
was as good as new.
What is broken is broken
and I'd rather remember
it as it was at its best
than mend it and see the
broken places as long as I lived.L.O.L
this was yesterday
mimi nazani acha nimpunguzie hashy majukumu, kuna teknik nitacheza hapa, hashy anaweza akaniona mbaya lakini deep inside akija kunielewa atajua kwamba nilikuwa narekebisha mazingira. mimi ni lawyer mzoefu bana. we tulia tu,Kiongozi what it do???
hebu asprin subiri hunioni....aaahhh
THIS WAS YESTERDAY
mimi nazani acha nimpunguzie hashy majukumu, kuna teknik nitacheza hapa, hashy anaweza akaniona mbaya lakini deep inside akija kunielewa atajua kwamba nilikuwa narekebisha mazingira. Mimi ni lawyer mzoefu bana. We tulia tu,
heheeh dah! na huyu ndio aspirin bana, mkuu ile tenzi uliomvurumishia mwanakijiji imeongeza sku zangu 6 za kuishi. dah!Nataka kukutongoza,
Ila nisije kukwaza,
maneno ukasambaza,
utaponigalagaza.
again ,,,,,,hash???.... what have i done to you??? why u broke my heart daily?? was i make a mistake to love you???
kwenye msala kama huu wewe unatakiwa kugonga senks tu usiongee sana. heri imo ndani ya shari. acha nifanye shari ili kuleta herithink kloro think......
nilham what i can advise you ni fungusha mizigo yako naona hauna chako tena
skiliza nikwambie michelle...... mke na mume wakigombana chukuwa jembe ukalime wakielewana chukuwa kapu ukavune,,,, we alishanambia kuwa ulikuwa uwa la njiani tuu...sasa hebu tulia kwanza...