Wiki nzima bila kutongozwa

Wiki nzima bila kutongozwa

images


THIS WAS YESTERDAY
 
I was never one to patiently pick up
broken fragments
and glue them together again
and tell myself that
the mended whole
was as good as new.
What is broken is broken
and I'd rather remember
it as it was at its best
than mend it and see the
broken places as long as I lived.L.O.L

Check songi la nguvu kwa NILHAM
Sasa hivi NILHAM atalainika na kushusha hasira
hashy kweli ni KIBOKO 🙂
 
Kiongozi what it do???
mimi nazani acha nimpunguzie hashy majukumu, kuna teknik nitacheza hapa, hashy anaweza akaniona mbaya lakini deep inside akija kunielewa atajua kwamba nilikuwa narekebisha mazingira. mimi ni lawyer mzoefu bana. we tulia tu,
 
again ,,,,,,hash???.... what have i done to you??? why u broke my heart daily?? was i make a mistake to love you???
 
mimi nazani acha nimpunguzie hashy majukumu, kuna teknik nitacheza hapa, hashy anaweza akaniona mbaya lakini deep inside akija kunielewa atajua kwamba nilikuwa narekebisha mazingira. Mimi ni lawyer mzoefu bana. We tulia tu,

think kloro think......
 
Nataka kukutongoza,
Ila nisije kukwaza,
maneno ukasambaza,
utaponigalagaza.
heheeh dah! na huyu ndio aspirin bana, mkuu ile tenzi uliomvurumishia mwanakijiji imeongeza sku zangu 6 za kuishi. dah!
 
nimepotea njia, wapi thread ya mafisadi...kudadadeki...!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
skiliza nikwambie michelle...... mke na mume wakigombana chukuwa jembe ukalime wakielewana chukuwa kapu ukavune,,,, we alishanambia kuwa ulikuwa uwa la njiani tuu...sasa hebu tulia kwanza...


Sawa nimetulia........
 
Back
Top Bottom