Wiki nzima bila kutongozwa


Je wanaokutongoza kwa wiki wangapi? na unawakubalia wangapi?

Asante.
 

Mh ndo leo nimeskia. Sijui ukihesabu then unakubali wangapi kwa wiki.
 
Nazjaz umenichekesha saana
Kumbe kuna mambo haya tena oops pole sana
Lakini kama unajiamini hata mwaka ukipita kuna tatizo gani?
Haya mambo ya nyota kufifia yanatoka wapi?

Kwa shekhe yayaa.
 

Unapenda mitongozo eeeh gawa namba ya simu tu, utatongozwa mpaka unalegea na kulainika
 
mh shost una hatar wewe..uongozane na bacha?
utafika safar yenyewe?
ahh km ivo basi mi nimegair safar yenyewe
bacha hafai uyo ennh!!

Duuu Rose mbona unazidi kunitisha, yani mi leo nikupotea njia tu. Jamani Jamani mbona nitakoma mie. Mafuta yenyewe yanaisha halafu sioni hata dalili za sheli hapa. Mweeeeeeeeeeee nimepatikana mie!!
 
Hutaki niongee ukweli?
Hivi kati ya wanawake na wanaume ni wepi wanawaza ngono zaidi?
Wote wanawaza ngono, lakini kuna muda wa kufanya hivyo!! Na ndio maana last week hukutongozwa na mtu yeyote kwa sababu huenda wanaume hawakuwa na mawazo ya ngono wakati wewe ulikuwa nayo.
 
mhh kazi kwelikweli,we ndio wale wasioweza ishi bila mwanaume inavyoonekana.
 
Kunitongoza hakumaanishi umenipata.
Wakariobishwa, uje ukiwa umeoga, umefua sox zako, umepigwa mswaki na uwe unanukia polo perfume kwa mbali ili nisiboreke kuongea na wewe

ok, uzuri ni kwamba,
ukishanikaribisha mimi kukutongoza,
ujue umekwisha!!!!huwezi toka salama
 
mimi nitongozwe,nisitongozwe,naona sawa tu.s.times huwa naona kama ni kero fulani,nikitongozwa na mtu ambae sipo interest nae.Na kama tayari ninae mtu,huwa ndio kabisaaaaaa,sipendi kutongozwa
 
Wote wanawaza ngono, lakini kuna muda wa kufanya hivyo!! Na ndio maana last week hukutongozwa na mtu yeyote kwa sababu huenda wanaume hawakuwa na mawazo ya ngono wakati wewe ulikuwa nayo.

Mbavu zanguuuuuuuuuuuuuuuuu!!!
Kwa hiyo kwenye kile kitabu chake cha tathimini aweke NIL!!!!! Kwene nafasi ya wiki iliyopita.
Asubirie wiki hii!

Duu umenichekesha lol
 
Wanajamvi, hili suala lenye hisia. sisi waafrika huwa tunaficha hisia zetu sana. Wanawake wameumbwa na hisia nyingi, hupendwa kuenziwa, attention na pia hata kuhudumiwa kwa kipao mbele. Huyu dada anchoongea si maanake ni muhuni lahashaa! bali ni ukweli kwamba hio inampa confidence kwamba she is existing. kila asubuhi jaribu kumuambia mkeo umependeza, umeumbika mpenzi. na wakati ukisafiri ata miss hizo
 
ok, uzuri ni kwamba,
ukishanikaribisha mimi kukutongoza,
ujue umekwisha!!!!huwezi toka salama
Ahahahahahaaaaaaah!! Hajakutana na wenye ma-PhD ya kutongoza huyu.
 
Jamani mpeni ushauri mwenzu.......... mie namshauri kama hatongozwi ajitongozeshe.
 
Nazjaz umenichekesha saana
Kumbe kuna mambo haya tena oops pole sana
Lakini kama unajiamini hata mwaka ukipita kuna tatizo gani?
Haya mambo ya nyota kufifia yanatoka wapi?
Nimefurahi kukuona FirstLady1 baada ya muda mrefu sana. Tena ndani ya avatar niliyokuwa nimeizoea zamani.
 
Afadhali bacha umetokea hebu nipe msaada, Niongoze tafadhali, lakini na wewe usinipeleke chaka ee!!

hapana siwezi kukupeleka chaka LD,
hebu mwite na Rose twende pamoja,
Huku hauwafai tena lol.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…