Wiki nzima bila kutongozwa

Michelle and Dinnah pls shake hands, hug each other and call it a day!!
 

Dinnah:

Mtoa mada kama jinsia yake ni ke nawiwa kusema hana akili timamu! Au ni a w*o*e or slut of some sort! Iweje mwanamke mwenye staa ukae unasubiri kutongozwa? Na iweje kutongozwa iwe kama big deal! I'm sorry, but frankly speaking nashindwa kujua mtoa mada kama ana akili timamu au yupo kwenye dimbwi la frustrations na stresses!
 
Hutaki kusema samahani sio??? endelea tu......πŸ˜›layball:



How did I ever let you slip away
Never knowing I'd be singing this song someday
And now I'm sinking, sinking to rise no more
Ever since you closed the door
Chorus :
If I could turn, turn back the hands of time
Then my darlin' you'd still be mine
If I could turn, turn back the hands of time
Then my darlin' you'd still be mine
Funny,funny how time goes by
And blessings are missed in the wink of an eye
Why oh why oh why should one have to go on suffering
When every day I plead please come back to me
 
Hizi siasa haziishi mkuu kuna wakati mwingine inatubidi tuingie huku ili tuweze kupumzisha vichwa na hasira maana kule unaweza kutukana ukapigwa ban bure.................

Ok. Lakini matokeo yake ni kama haya,... kutofautiana katika mitizamo na kugombana. Too much of anything always harmful...!! Sijui?!
 
Baba Enock, japokuwa upo kwenye mabox, according to your location, but you have x-ray eyes, you can see far far away.
 
Michelle and Dinnah pls shake hands, hug each other and call it a day!!

ha ha ha ha ha ha

Sina neno na Dinnah,nimejaribu kumuelimisha tu na naelewa asichokipenda

Dinnah as i shake my hand with you and hug you,i will be whispering'' Take it Easy My Dear"

πŸ˜›layball:πŸ˜›layball:
 
hivi baba enock mtu kupenda kutongozwa ni kukosa akili au ni kila mtu anavyochukulia? basi mumadvice sio kumwambia hana akili kuna watu wanaonekana humu wana akili lakini wanayoyafanya huko nje unaweza kimbia bora hata huyu aliyejielezea
 
Michelle and Dinnah pls shake hands, hug each other and call it a day!!

mnafikiri nagombana na michelle? kuna watu humu wanakera sometimes.wanataka wayasemayo tu ndio yaonekane ya maana.
acheni na muwe wakweli
 
hivi baba enock mtu kupenda kutongozwa ni kukosa akili au ni kila mtu anavyochukulia? basi mumadvice sio kumwambia hana akili kuna watu wanaonekana humu wana akili lakini wanayoyafanya huko nje unaweza kimbia bora hata huyu aliyejielezea

Dinnah:

Bahati mbaya sina Kamusi ya Kiswahili Sanifu kwa hiyo neno tongoza nashindwa kutoa maana yake halisi kwa Lugha ya Kiswahili!

Kwa bahati nzuri neno "tongoza" tafsiri yake kwa Kiingereza ni "seduce"!

seduce - v. tempt (esp. into wrong-doing); persuade into sexual intercourse.

Sasa unahitaji nieleze vipi : How can someone with sound-mind "enjoy" the act of being seduced!? strange!
 
Mkuu watu wana maradhi katika nyoyo zao. Na wapo tayari kwa hali na mali kutetea kile wanacho kipenda hata kama ni kinyume na maadili.
 

I might as well admit it
That I still miss you
I know what I said but it's
Kind of hard for me
And it's hurting me
This is bigger than pride
And I wanna give it another try
I'm still torn in two
But love made me make this decision so

[Chorus]
I'll forgive you
But you really hurt me
My heart wants to try us again
I know your only human
But you almost destroyed me
Our love was worth it
Still I need a little more time

I hope you learned a lesson
Bout hurting the ones you really love
Cause I was a soldier for you
Would have done anything to prove it to you
Maybe we can get on track
Rekindle the love and bring it back
Cause there's nobody else for me
My heart just wants to say this to you

I got to figure this out
We need a new start
No more deceitful lies
If someone told me we would be apart
I would say your foolish
Cause God brought you to me

πŸ˜›layball:
 

When a woman loves
She, she loves for real
When a woman loves
She, she, she loves for real
She took me back
After I broke her heart
About a thousand times

She gave her life to me
With no regrets, she followed me
And she, and she, the girl she raised me
And I'm forever indebted, I'm forever indebted, I'm forever indebted to her cause
When a woman loves
She, she, she loves for real
When a woman loves
She, she, she loves for real
She filled my soul
With the very touch of her hand
She really did
And she's got more, more faith in me than a beach got sand
And I like to tell ha, I like to tell ha, that I'm forever indebted,, that I'm forever indebted, forever indebted
Cause when a woman loves
She, she, she loves for real
Yea, yea
See a woman loves
It would never die young
Even when I'm dead and gone, I'm gonna love her from the sky
Cause she's given me something that no other woman has given me (Whooooo)
When I think about you girl it makes me think
When, when, when, when a woman
When a
Woman
Loves
She loves for real (oh)
When a woman loves, loves, loves
I'm tellin you when she loves
She, she loves for real
Yea, yea, yea
When she loves (When she loves) (6X)
She (When she loves) (3x)
She loves for real
 
mnafikiri nagombana na michelle? kuna watu humu wanakera sometimes.wanataka wayasemayo tu ndio yaonekane ya maana.
acheni na muwe wakweli

Mi sigombani na mtu,am not here for that..........

kwanini una amini watu wanadanganya?ili iwafaidie nini??? hatuwezi fanana tabia na mienendo.....mbona hii ishu inakuwa ndefu sana??
 
bado baba enock kama ni hivyo watu wengi wasingelalamika wakiwa hawatongozwi! na ni kawaida kwa mwanamke kutongozwa sie tunasema to be approched! hata hujiamini kiasi gani mwanamke lazima upende tu labda uwe unachukia wanaume kwa sababu walikutenda au walitenda ndugu na marafiki zako

na himizwa kutongozwa ni muhimu.embu kesho hivi serikali iamue wanawake wawe wanachagua mavazi aina mbili tu nyekundu na njano. njano hawatongozwi na nyekundu wanatongozwa kama hiyo njano itavaliwa.
 

Sasa naona unafikiri bila kuweka hisia which is good......hapo kwa nyekundu yaweza kuwa moja ya jibu sahihi kwanini baadhi ya wanawake hawapendi kutongozwa wala ndoa.....

Ukitaka ku-argue ki-great thinker ukae ukielewa,life experiences make us who we are and shapes us to behave the way we behave, we will always differ in the choices we make,the languages we use and in our beliefs.πŸ˜›layball:
 
bado baba enock kama ni hivyo watu wengi wasingelalamika wakiwa hawatongozwi! na ni kawaida kwa mwanamke kutongozwa sie tunasema to be approched!

Mwanamke anayelalamika kuwa "hatongozwi" ni mwendawazimu - na anahitaji ushauri nasaha haraka sana!

Labda tunapishana Kiswahili - "to be approached" is not synonimous to "to be seduced"!
 
mnafikiri nagombana na michelle? kuna watu humu wanakera sometimes.wanataka wayasemayo tu ndio yaonekane ya maana.
acheni na muwe wakweli

Dinnah kila binadamu yuko hivo lakini kwa namna fulani ni tofauti na mwenzake. Unaweza kupenda hivi ila yeye asipende. Ukweli unabaki pale tu. LAKIN ikifikia hatua hiyo ya kujibizana, haipendezi saaaaaaana, ukiasi ni mzuri zaidi. Michelle anashake hands na wewe, nakusihi umpokee na usikilize zile whisppers zake!!! Sawa bibiee?!
 
Mi sigombani na mtu,am not here for that..........

kwanini una amini watu wanadanganya?ili iwafaidie nini??? hatuwezi fanana tabia na mienendo.....mbona hii ishu inakuwa ndefu sana??

Naona wapinzani kila kona mami!Tofautiana kidogo to unadanganya!Kaazi kweli kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…