Wiki nzima bila kutongozwa

Wiki nzima bila kutongozwa

Hatanii huyo?? take him seriously....usije sema sikukwambia.......😛layball:

so whats kickin? tatizo gharama? choose your ride!

images


images


images
 
hi bacha, michalle+EMT +finest +hash ycool if possibo someni sredi ya
Can You Marry A Jobless Man? uone watu wanavyoolewa kwa kufwata mshiko na sio mapenzi.mtakubali nilionewa kwenye ile sredi yangu ya Mmasai vs Mmarangu.


Michelle Nimeisoma mama labda hawa wengine,hujaona comment yangu pale,ebu angalia......

Natumaini na wengine watasoma,waache tabia ya kuonea watu kumbe ndo maisha yalivyo.........

Kuwa na kazi sio lazima kuwa unamshiko. Yule mmasai mwenyewe si ana kazi? Lakini wewe unamtaka mchaga mwenye mshiko. Nafikiri watu wanavyoongelea mwanaume mwenye kazi wanamaanisha mwanaume anayewajibika na wala sio mwanaume mwenye mshiko. Wewe unaangalia zaidi kipato cha mwanaume badala ya uwajibikaji wake.
 
lamborgini.jpg



OR

porsche-boxster-techart-black.jpg


Anything else,you can forget about me,call it history...PERIOD
 
Asante mpz,nitake nini tena??gunia la chawa,never!!! karibu CPU!!

Relationships are like glass. Sometimes it's better to leave them broken than try to hurt yourself putting it back together
 
Relationships are like glass. Sometimes it's better to leave them broken than try to hurt yourself putting it back together

Acha hasira basi my lv,challenge kidogo tu unataka lia?? mbona hufungui gate,na lile swali ingine mbona hujajibu????
 
Back
Top Bottom