Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,628
- 3,535
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani,upo kwako nipite nawe nikugongee???😛layball:
Mmma my dear nimeshajiandaa kumpiga brush Hashy alafu nasikia habari ya sijui Sipiyu...vipi tena hii kitu?
hebu mfunde huyu mtoto wa kike......
Dah kweli kua mama mchungaji ni kazi!Sasa inabidi niwakalishe chini pamoja!hebu mfunde huyu mtoto wa kike......
Mwenzenu kuna jambo nilijifunza kwa Marytina.....something to do with the list....in case Hashy akila kona,kuwe na back up???kwani wana maana hawa Lizzy???😛layball:
maumivu bila chuki!
mwenzenu kuna jambo nilijifunza kwa marytina.....something to do with the list....in case hashy akila kona,kuwe na back up???kwani wana maana hawa lizzy???😛layball:
:disapointed::disapointed:
Daaaaah! Masikini my name!!!
Dah kweli kua mama mchungaji ni kazi!Sasa inabidi niwakalishe chini pamoja!
revenge babu,ujue nami niliumia.......lol
Daaah . . . kumbe mi ni BACK UP aka RIZEVU??? :shock:
toka lini moto ukazimwa kwa moto?
Weee hizo kicheni pati za siku hizi zinapotosha sana ehh maana haya mawazo sio!Utamuua mwenzako kwa presha bure!Mwenzenu kuna jambo nilijifunza kwa Marytina.....something to do with the list....in case Hashy akila kona,kuwe na back up???kwani wana maana hawa Lizzy???😛layball:
daaah . . . Kumbe mi ni back up aka rizevu??? :shock:
weee hizo kicheni pati za siku hizi zinapotosha sana ehh maana haya mawazo sio!utamuua mwenzako kwa presha bure!
Niko tayari mama Mchungaji,nataka yaishe tutulie.......
kwakuanzia naomba kila mmoja anieleze tatizo kwa upande wake kwa kifupi!hashy naomba uanze wewe alafu michelle atafuata!naomba msianze mabishano ehh...