Wiki nzima bila kutongozwa

Wiki nzima bila kutongozwa

Mmmh! Mpenzi haya mambo ya kujuana yapo hapa JF?? Makubwaaaa :shock:

Acha tu kaka angu CPU, sijui kwa nini sio motherboad lol.
Unajua natamani huyu mwanamama aliyeleta hizi habari za kujuana atupe facts sijui details and examples za hao wanaojuana na hiyo michango yakijinga wanayo sapotiana.

Manake daaaaaa!!
 
Mhhhh ndivyo anavyotaka uamini...ulivyotaka kaanza ku:yell: then aka :crying:alafu aka:A S-cry: zaidi mpaka nika:busu kirafiki kabla sija:gossip: kwamba unam:love: sanaaaaaa!!!

Sawa,kumbe anaumia basi ntaacha,nilijua ana moyo wa jiwe.....kumbe akija huko analia jamani????:shock::shock:
 
I love you - those three words have my life in them. better take care of em!
 
Orait naomba msogee karibu na mama mchungaji!!!

Kwanza Hashy hukufanya vizuri kumtega mwenzako wakati bado kuna anaeamini uko nae!!!
Hapo umepoteza imani kwahiyo inabidi ufanye kazi kuirudisha!!!Sasa nnachotaka umhakikishie
ya nyuma yamepita....sio kwa maneno bali kwa matendo!!Kwahiyo kama ni barua utawaandikia au simu utapiga anatakiwa awe karibu.

Alafu kumwita mwenzio ua la barabarani jamani mbona kama umemdharau???
Naomba umwombe msamaha tafadhali!!!

To make it up to her kwanzia sasa macho yote kwake....na wakina dada wakikukodolea macho wape live!!Na utani uwe minimum....!
Lots of attention ila usimboe!
Kua karibu watu wasimsogelee sogelee kumpa umbea!
Kila siku usimnyime Thanks angalau tano kumuonyesha unamwaprishieiti!!!

Michelle pole kwa kuumizwa mama ila haya mambo yanahitaji uvumilivu!!Sio mwenzio akikukasirisha kidogo tu unakimbia!!
Sawa mama ehhhh???
Kumtisha mwenzio unamuacha kila saa sio solusheni...kaa chini mwaleze makosa yake usikie ana lipi lakusema!!
Naomba upunguze mawasiliano na kina Kloro sijui Sipiyu na wenzake maana ni wadanganyifu tu hao!!Wanataka kukutoa kwa Hashy alafu wakumwage....hata siku moja usiwaamini hao mabraza meni wanaokushawishi uachane na wako mpenzi!!!

Natumaini mtakua mmenielewa!!Msiniangushe tafadhali!!!
 
:A S-fire1: sioni kama kuna ulazima wa kutongozwa by the way wengi ni waongo na wenye tamaa, kila msichana akipita anataka amsemeshe!
kwani wakikutongoza unakubali wangapi na kukataa wa ngapi?:A S kiss:
Mi nafikiri mtoa mada hajazungumzia mitongozo genuine na ile feki....issue yake ni katika kutamkiwa yale maneno ya mahaba whether aloyatamka ni kibabu au teja...........

Mi nakubaliana naye kuwa kama mwanamke halisi lazima utongozwe, utupiwe jicho au hata usemeshwe bwana.............

But inategemea na kazi yako..........sie wengine ambao kazi zetu ni zile za kukuconfine sehemu moja kila siku from morning to usiku haimake sense hata kidogo.....unatongozwa, na kutongozwa na wafanyakazi wenzako na mwisho wa siku ukishakaa muda mrefu unawezahisi hata mlinzi wa getini akikutabasamia unahisi anakuomba...............
 
Orait naomba msogee karibu na mama mchungaji!!!

Kwanza Hashy hukufanya vizuri kumtega mwenzako wakati bado kuna anaeamini uko nae!!!
Hapo umepoteza imani kwahiyo inabidi ufanye kazi kuirudisha!!!Sasa nnachotaka umhakikishie
ya nyuma yamepita....sio kwa maneno bali kwa matendo!!Kwahiyo kama ni barua utawaandikia au simu utapiga anatakiwa awe karibu.

Alafu kumwita mwenzio ua la barabarani jamani mbona kama umemdharau???
Naomba umwombe msamaha tafadhali!!!

To make it up to her kwanzia sasa macho yote kwake....na wakina dada wakikukodolea macho wape live!!Na utani uwe minimum....!
Lots of attention ila usimboe!
Kua karibu watu wasimsogelee sogelee kumpa umbea!
Kila siku usimnyime Thanks angalau tano kumuonyesha unamwaprishieiti!!!

Michelle pole kwa kuumizwa mama ila haya mambo yanahitaji uvumilivu!!Sio mwenzio akikukasirisha kidogo tu unakimbia!!
Sawa mama ehhhh???
Kumtisha mwenzio unamuacha kila saa sio solusheni...kaa chini mwaleze makosa yake usikie ana lipi lakusema!!
Naomba upunguze mawasiliano na kina Kloro sijui Sipiyu na wenzake maana ni wadanganyifu tu hao!!Wanataka kukutoa kwa Hashy alafu wakumwage....hata siku moja usiwaamini hao mabraza meni wanaokushawishi uachane na wako mpenzi!!!

Natumaini mtakua mmenielewa!!Msiniangushe tafadhali!!!

Asante sana mama mchungaji,umemaliza matatizo yote.......

Nakushukuru sana na naahidi nitakutii na kutomuumiza tena,na kuanzia leo sitamrusha roho, na nitakuwa mvumilivu kadri ya uwezo wangu.

Sitakuangusha,ubarikiwe sana,msalimu sana Rev. Masa.....tunamkosa!!🙂
 
Mi nafikiri mtoa mada hajazungumzia mitongozo genuine na ile feki....issue yake ni katika kutamkiwa yale maneno ya mahaba whether aloyatamka ni kibabu au teja...........

Mi nakubaliana naye kuwa kama mwanamke halisi lazima utongozwe, utupiwe jicho au hata usemeshwe bwana.............[/QOUTE]

MJI usinichekeshe mama, kwa hiyo unayo diary sijui note book ya kurecord kama leo, wiki hii umetongozwa mama. Manake hapa ishu ni kiwango cha kutongozwa ktk wakati. So kama inapita siku/wiki hujatongozwa ni ishu!!!!!
 
Pole sana my dear, binafsi naona swala la kujuana hapa wala halina msingi wowote ktk hili mwenzangu. Sidhani kabisa kama kuna mtu anayekubaliana na ujinga wa mtu kwa sababu anamfahamu. Labda kama anaona vema atupe mfano.

Nashawishika kufikiri labda wanafahamiana na mtoa mada so akaamua awe upande wake.[/QUOTE]

Potezea my dear,it does not worth it,have fun!!
 
Acha tu kaka angu CPU, sijui kwa nini sio motherboad lol.
Unajua natamani huyu mwanamama aliyeleta hizi habari za kujuana atupe facts sijui details and examples za hao wanaojuana na hiyo michango yakijinga wanayo sapotiana.

Manake daaaaaa!!

Again,potezea,it does not worth it,enjoy your time on JF.....
 
Asante sana mama mchungaji,umemaliza matatizo yote.......

Nakushukuru sana na naahidi nitakutii na kutomuumiza tena,na kuanzia leo sitamrusha roho, na nitakuwa mvumilivu kadri ya uwezo wangu.

Sitakuangusha,ubarikiwe sana,msalimu sana Rev. Masa.....tunamkosa!!🙂

Good gal!!!
Hapo mama mchungaji kaSMILE kwa ushindi!!!

Rev ntamsalimu usijali....akirudi namwangushia bonge la welkam pati...utakuwepo???
 
Mi nafikiri mtoa mada hajazungumzia mitongozo genuine na ile feki....issue yake ni katika kutamkiwa yale maneno ya mahaba whether aloyatamka ni kibabu au teja...........

Mi nakubaliana naye kuwa kama mwanamke halisi lazima utongozwe, utupiwe jicho au hata usemeshwe bwana.............[/QOUTE]

MJI usinichekeshe mama, kwa hiyo unayo diary sijui note book ya kurecord kama leo, wiki hii umetongozwa mama. Manake hapa ishu ni kiwango cha kutongozwa ktk wakati. So kama inapita siku/wiki hujatongozwa ni ishu!!!!!
My dia mie nlishapita huko.........yes there was a time I was looking forward........ikipita wiki sijasifiwa sijui macho, kijungu sijui kiuno nilikuwa narusi chumbani na kujitizama upya to see what was wrong,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,but not anymore.......I had my share now nawaachia wadogo zangu waexperience otherwise ntakuwa m,lafi .......
 
Orait naomba msogee karibu na mama mchungaji!!!

Kwanza Hashy hukufanya vizuri kumtega mwenzako wakati bado kuna anaeamini uko nae!!!
Hapo umepoteza imani kwahiyo inabidi ufanye kazi kuirudisha!!!Sasa nnachotaka umhakikishie
ya nyuma yamepita....sio kwa maneno bali kwa matendo!!Kwahiyo kama ni barua utawaandikia au simu utapiga anatakiwa awe karibu.

Alafu kumwita mwenzio ua la barabarani jamani mbona kama umemdharau???
Naomba umwombe msamaha tafadhali!!!

To make it up to her kwanzia sasa macho yote kwake....na wakina dada wakikukodolea macho wape live!!Na utani uwe minimum....!
Lots of attention ila usimboe!
Kua karibu watu wasimsogelee sogelee kumpa umbea!
Kila siku usimnyime Thanks angalau tano kumuonyesha unamwaprishieiti!!!

Michelle pole kwa kuumizwa mama ila haya mambo yanahitaji uvumilivu!!Sio mwenzio akikukasirisha kidogo tu unakimbia!!
Sawa mama ehhhh???
Kumtisha mwenzio unamuacha kila saa sio solusheni...kaa chini mwaleze makosa yake usikie ana lipi lakusema!!
Naomba upunguze mawasiliano na kina Kloro sijui Sipiyu na wenzake maana ni wadanganyifu tu hao!!Wanataka kukutoa kwa Hashy alafu wakumwage....hata siku moja usiwaamini hao mabraza meni wanaokushawishi uachane na wako mpenzi!!!

Natumaini mtakua mmenielewa!!Msiniangushe tafadhali!!!

Nasema SIKUBALI N'GOOOOO . . . yaani naibiwa wakat naona??? Noooo!
 
Pole sana my dear, binafsi naona swala la kujuana hapa wala halina msingi wowote ktk hili mwenzangu. Sidhani kabisa kama kuna mtu anayekubaliana na ujinga wa mtu kwa sababu anamfahamu. Labda kama anaona vema atupe mfano.

Nashawishika kufikiri labda wanafahamiana na mtoa mada so akaamua awe upande wake.[/QUOTE]

Potezea my dear,it does not worth it,have fun!!

Poa poa, nilishampotezea tangia hapo, basi tuuuuuuuu!!!
 
ohoooooo MAMBO YA KUNYWA CHAI NA MATANGO
break_my_heart_by_lady_in_love.jpg1916059951_small_1.jpg
 
I can't remember the sound of your voice anymore,
I can't hear the way you say your words anymore.
I can't remember your eyes,
The only ones I could look into, are gone from me now.

I can't remember what safety feels like anymore,
The warmth of your embrace, gone from me now.

I'm left with emptiness, screaming inside,
For you to be here beside me again.
I'm here knowing you can't ever be there anymore.

I can't remember.
I've tried so hard to hold on to my memories of you,
So much that I've forgotten all the things about you.

But I still know your name,
I can see your words on the page but,
I just can't feel any emotion.

I can't remember you but,
I have never forgotten you.
I see a face on the page, but,
It isn't you.

I see a smile there too,
And once I swear I saw a tear.
Maybe once I saw you laughing,
I just couldn't hear the sound.

I can't remember you, but
I know all about you.
Part of me remembers everything I knew,
Part of me knows that I can't really forget about you.

I know you aren't here,
Somehow though,
I don't feel alone.
You were here with me once
And in a way I know, you still are.
I just can't hear your voice.
And I can't see your face anymore.

I somehow just know you are still there.
I can't see you but I can still feel your warmth,
And hear the things you used to say.
I can feel the security I used to feel,
Deep inside I know it is there,
Just like when you really were here with me.

Because I remembered something.
That footprints, they leave so many marks,
Yes some do fade but the others will always, always stay.
Yours are the ones that remain, but in a very different way.

Your footprints are right here with me,
I won't ever be able to see them but they are here.
With everything you used to say,
With your embrace and with your safety,
Here with your friendship,
The way you never left me.
I know now you are here to stay, even though really you're gone.

Because your footprints are always here with me,
Beside me or leading the way,
They are there.
Your footprints,
They remain...Right Across My Heart ♥
yaani mama mchungaji mie mwenzio nakufa kila dakika humu jf
 
oooh my god this was my dailly song u used to sing it 4m... hash why have i done to u... i'm in the heaven now...
When a woman loves
She, she loves for real
When a woman loves
She, she, she loves for real
She took me back
After I broke her heart
About a thousand times

She gave her life to me
With no regrets, she followed me
And she, and she, the girl she raised me
And I'm forever indebted, I'm forever indebted, I'm forever indebted to her cause
When a woman loves
She, she, she loves for real
When a woman loves
She, she, she loves for real
She filled my soul
With the very touch of her hand
She really did
And she’s got more, more faith in me than a beach got sand
And I like to tell ha, I like to tell ha, that I’m forever indebted,, that I’m forever indebted, forever indebted
Cause when a woman loves
She, she, she loves for real
Yea, yea
See a woman loves
It would never die young
Even when I’m dead and gone, I’m gonna love her from the sky
Cause she’s given me something that no other woman has given me (Whooooo)
When I think about you girl it makes me think
When, when, when, when a woman
When a
Woman
Loves
She loves for real (oh)
When a woman loves, loves, loves
I’m tellin you when she loves
She, she loves for real
Yea, yea, yea
When she loves (When she loves) (6X)
She (When she loves) (3x)
She loves for real
 
Back
Top Bottom