Wiki nzima bila kutongozwa

Wiki nzima bila kutongozwa

wenda wapi??
:mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::yell::yell::director::fencing::fencing:

Michelle ameniambia hashycool kalala sasa sijui kalala kwake au kwa michelle ngoja michelle atujibu mwenyewe
 
wenda wapi??
:mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::yell::yell::director::fencing::fencing:

Mimi nitakuwa nachochea:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:
 
Michelle ameniambia hashycool kalala sasa sijui kalala kwake au kwa michelle ngoja michelle atujibu mwenyewe

Daaaaah! Mtumeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee :shock::shock::shock::shock:
 
Tofautisha pale unapoona unakuwa appreciated haswa na wale waliokuwa wanakufahamu kwa karibu ( validation) na kule kufuatwafuatwa kila wakati na watu wapya ambako nadhani ndicho unamaanisha.

"Validation" ni kitu kizuri kwa wote wanawake na wanaume. Kutongozwa2 siyo dalili nzuri maana inakushusha thamani.Inamaanisha uko available muda wote! Nikitongozwa mara kwa mara nitajichukia na kubadili tabia!
 
kaka wewe huwa hulalagi? khaaa!l.o.l

Comrade hashy, si unaona hayo mabuti pembeni nalinda kutwa nzima JF. Hebu mjibu kwanza NILHAM akupe vipande vyako. Mi nawapa ulinzi
 
Back
Top Bottom