Ntiliabhose
Member
- Dec 31, 2012
- 78
- 38
Asante mamy nishaandaa. Vifaa alafu zile kanga zote 2nazoambiwa kuwa nazo zinakuwa na kaz gani mbona nyingi?
Asante MISS strong nimenunu mpya zote Ila ntachanganya na kama ulivyonielekeza
Habari zenu jaman! Ninaujauzito wa wk 38 na makadilio ni wk 40 je mpaka nifikishe makadilio au ni Muda wowote?pia nisogee karibu na ndugu watakaoniudumia au nisubiri wk ya 40. Nawasilisha jaman hii ni mimba ya kwanza.
Asante MISS strong nimenunu mpya zote Ila ntachanganya na kama ulivyonielekeza
Asante MISS strong nimenunu mpya zote Ila ntachanganya na kama ulivyonielekeza[ na hakikisha unafua hzo kanga kabla ya kuzitumia
kanga mpya kwa ajili ya mtoto,kanga za zamani kwa kufutia damu na majimaji ya mji wa mimba.
Samahani kukuuliza hili,MOKALA nimeshazifua na kibegi tayaritayari! Nashukuru xana