chichimizi
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,074
- 339
Miezi 12 unamaanisha mwaka mmoja!!!Kawaida tu mkuu wala usipate hofu. 'matarajio' mara nyingine huwa wanakosea ku-approximate. Ongeza wiki moja mbele, mwambie mamaa aongeze mazoezi na pia nlisikia juisi ya mananasi inasaidia kuongeza uchungu.
Mama yangu aliniambiaga ujauzito wa kunizaa mimi aliubeba kwa miezi 12, imagine subira kiasi ilihitajika katika mtihani wake.
Hospital wamesemaje??Habarini wadau jamani mke wangu anaujauzito na tarehe ya matarajio ilikua ni tarehe 1 lakini naona siku zinaenda tu mtoto wangu hazaliwi kazi yake nikurukaruka tu tumboni kwa mama yake.
Je watalamu hapa shida iko wapi?
Kuwa na amani baba kijacho, ni kawaidaHospital nimeenda nimeambiwa nitulie soon itakua Poa tu.
Lakini naona kama sio kweli hivi maana kesho linaanza wiki la 42 aiseee nadata kabisa
Acha kupotoshaKawaida tu mkuu wala usipate hofu. 'matarajio' mara nyingine huwa wanakosea ku-approximate. Ongeza wiki moja mbele, mwambie mamaa aongeze mazoezi na pia nlisikia juisi ya mananasi inasaidia kuongeza uchungu.
Mama yangu aliniambiaga ujauzito wa kunizaa mimi aliubeba kwa miezi 12, imagine subira kiasi ilihitajika katika mtihani wake.
Ni utani haswa, Tembea uone.Miezi 12 unamaanisha mwaka mmoja!!!
Utani huo
Sawa mkuu nitaacha.Acha kupotosha
Heeee sasa mbona tena mnanitisha?Wiki ya makisio ya mtoto kuzaliwa ni wiki ya 40. Endapo amepitiliza wiki mpaka wiki ya 41 mpeleke hospitali wakafanye induction of Labour. Watamuwekea vidonge vya uchungu. Kuchelewa zaidi ni kutafuta matatizo
Ova
Inaendana mkuuWiki ya 42 huwa ni ya mwisho ya matazamio baada ya hapo daktari ataamua hatua ya kuchukua ila na ultra sound iwe inaendana na hayo mahesabu yako.
Basi ikikamilika wiki ya 42 daktari atachukua hatua.Inaendana mkuu
Mfano hatua gani?Basi ikikamilika wiki ya 42 daktari atachukua hatua.