Wiki ya Magoli ya Lala salama/jioni..

Wiki ya Magoli ya Lala salama/jioni..

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Anza Tz vs Congo goli la jion kbsa.

Yanga vs Simba kitu kile kile

Man utd vs Stoke mfumo ule ule

Arsenal vs Burney dakika ya 92+

Kuna matokeo kati ya hizo game yameniumiza kabisa.

Sijui kwako mdau?
 
Anza Tz vs Congo goli la jion kbsa.

Yanga vs Simba kitu kile kile

Man utd vs Stoke mfumo ule ule

Arsenal vs Burney dakika ya 92+

Kuna matokeo kati ya hizo game yameniumiza kabisa.

Sijui kwako mdau?
Azam vs Ruvu, dakika 89 Ruvu wanasawazisha
 
Back
Top Bottom