whois makamba by ze way!
Ana uwezo wa kutamka hayo?
Ktk wiki hii ya mwisho nimekuwa nikipokea taarifa kwamba ziara ya makamba iliyoanzia kanda ya kaskazini akimnadi Dr Buriani, ilienda sambamba na kuwaahidi waislamu kwamba TZ itajiunga na OIC na 'watapewa mahakama ya kadhi' Haya aliyafanya ktk misikiti. Lakini kwa tahadhari kwamba CCM haikuiweka ktk manifesto yao.
Hii nadhani imeenda sambamba na mazungumzo ya bw. Membe na wakuu wa madhehebu ya Kikristo, aliposema "...... lakini OIC wana pesa!...." Huyu hana maana sana lakini nadhani CCM wanafanya usanii kiasi.
Iweje waliiweka kwa miaka mitano bila kuitekeleza, sasa hivi wanaiondoa ndo waitekeleze?
Hivi kweli mtu anaweza kwenda Arusha kutoa ahadi za maslahi ya Waislamu?

Jamani hizi kampeni zingine mnajitia aibu na kuitia dosari CHADEMA. Jamani hizi kampeni za uzandiki hazitawasaidia isipokuwa zinaharibu all prospects za CHADEMA na mwisho watajikuta katika kapu la CUF. Pia jamani imefika wakati kuachana na hizi propaganda za kuwatenganisha watanzania maana mkae mkijua Tanzania ya baada ya uchaguzi ni Tanzania ya wote na sio ya Kikwete na Waislamu pekee......
Na hili suala la kuanzishwa mahakama ya kadhi iweje abebeshwe Kikwete ambaye yeye alibebeshwa na timu ya ilani iliyokuwa chini ya Mwenyekiti Mkapa pamoja na kina Mzee Kingunge na Dr Mkama ambao hata kama ni wakristo lakini hawakuona kosa kuwa na mfumo rasmi na makini zaidi kuwezesha waumini wa kiislamu ambao nao ni watanzania kama wengine kufuata misingi ya dini yao kwa ufanisi zaidi?
Hivi mnajua kuwa mchakato wa mahakama ya kadhi ulianzishwa na Rais Mkapa ambaye aliunda timu maalumu ya wasaidizi wake makini ambao walishauri kuwa hakuna kosa kuanzishwa mahakama ya kadhi na yeye kuridhia hilo kabla hajabanwa na some fanatics ambao walimtishia.
Hivi mnajua kuwa suala na mswada wa sheria iliyoundwa na wasomi wa dini mbalimbali na magwiji wa sheria nchini ilishazungumzwa hata katika level ya parliamentary committees na kupitishwa ikisubiri baraka za kibunge miaka kadhaa hata kabla ya JK kuwa mgombea urais wa CCM.
Hivi ni lini Kikwete aliwahi kutamka kuwa ataanzisha mahakama ya kadhi hata wakati ule wa kampeni isipokuwa alisisitiza kuwe na mjadala wa kitaifa kuhusu suala hilo na ndicho kilichofanyika na kinaendelea kufanyika. Sasa iweje leo muwe na guts za kusimama kumvisha msalaba huu Kikwete wakati mkijua wazi kuwa ILANI hiyo iliundwa na kupitishwa chini ya uongozi wa Benjamin Mkapa?
Oma, Hakuna anayeona mantiki ya kufanya hivyo. Lakini siyo ajabu kwa Makamba kwenda mwendo huo. Tangu aliponyamazishwa kwa kutaka aeleze historia yake ya ualimu, siku hizi hana la kusema. Hilo nalo hulioni.
Nimeshuhudia akimunadi Dr Batilda kwa kusifia uzuri wake. Mbele ya TV huku akimuangalia usoni, watu wakicheka. Hilo nalo hukuliona?
Hivi kanda ya kaskazini ni Arusha pekee?
Mwandishi kasema ziara ilianzia kanda ya kaskazini (ikiwemo Arusha), wewe na bange zako ushakimbilia na spin zako hapa za kifisadi fisadi tu.
Gooosh Omar unatia aibu sasa.
I knew it
whois makamba by ze way!
Ana uwezo wa kutamka hayo?
Mtuhumiwa wa ubakaji
Nilishasema kuwa sibishani na watu wenye upeo mdogo kama wewe..........
Love u
What did you know? kwamba Dr. Buriani anagombea Arusha au vipi? Na kwa nini ulilink OIC na Dr. Buriani?