MchunguZI
JF-Expert Member
- Jun 14, 2008
- 4,011
- 2,185
Ktk wiki hii ya mwisho nimekuwa nikipokea taarifa kwamba ziara ya makamba iliyoanzia kanda ya kaskazini akimnadi Dr Buriani, ilienda sambamba na kuwaahidi waislamu kwamba TZ itajiunga na OIC na 'watapewa mahakama ya kadhi' Haya aliyafanya ktk misikiti. Lakini kwa tahadhari kwamba CCM haikuiweka ktk manifesto yao.
Hii nadhani imeenda sambamba na mazungumzo ya bw. Membe na wakuu wa madhehebu ya Kikristo, aliposema "...... lakini OIC wana pesa!...." Huyu hana maana sana lakini nadhani CCM wanafanya usanii kiasi.
Iweje waliiweka kwa miaka mitano bila kuitekeleza, sasa hivi wanaiondoa ndo waitekeleze?