Nyambala
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 4,465
- 1,171
Kuna wakati najuuuta huwa kuwa Chadema!
That is why I suggested this:
https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/80773-threads-za-dini-mods-pls.html
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wakati najuuuta huwa kuwa Chadema!
It's just a suggestion, lakini unapojikuta na kundi la watu wanaokutazama wewe kama sii mwenzao ndipo unapoanza kujiuliza maswali mengi kichwani..That is why I suggested this:
https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/80773-threads-za-dini-mods-pls.html
Hizi dharau zenu kwa waislamu ndizo zilizomletea laana mgombea wenu wa uraisi,amekuwa akibwabwaja mambo ambayo yamemuondoshea hadhi iliyodhaniwa kuwa ni hadhi aliyoipata bungeni.Yeye na Mrema ni sawa.
Kupanda kwenye jukwaa na mke wa mtu,bei ya mfuko wa saruji na vitisho ni mifano hai ya mambo yaliyombwaga chini.
Kuhusu waislamu,kwa adhabu atakayopewa Slaa mwaka huu,baada ya uchaguzi hapana shaka watanzania watawajua waislamu ni nani, kwa vile ambavyo maamuzi yao katika kura yatakuwa yamebadili muelekeo wa waliokuwa wakiwadharau.