Hoja sio kuwa Nyuma, hii inatokana na ukuajiaji wa technolojia hasa upande wa matumizi ya AI.Ni idea mbovu, kwa nchi yetu siku a kazi zinatakiwa kuwa 6 sio 5,
Hakuna haja ya watu kupumzika wakati bado tupo nyuma hivi
Whatever mkuu, yan ambavyo tuna shida ya vyoo, Visima, mara umeme, mara madarasa, yan tuna mashida kibao, halafu tufanye kazi siku 4 ? Hizo shida atasolve nani?Hoja sio kuwa Nyuma, hii inatokana na ukuajiaji wa technolojia hasa upande wa matumizi ya AI.
west wanajitafutia anguko tuMakampuni kadhaa yametoa matokea chanya kuhusu kuwa na siku nne tu za kazi kwa wiki.
Utafiti huo ulioonza mwaka 2022 umeshaanza kushirikisha na makampuni ya nchi nyengine nje ya Uiengereza.
Cha kujiuliza ni jee watanzania na waafrika kwa ujumla wiki hii itawafaa na jee watafuata mkumbo kama ambavyo kinachoanzia huko lazima kifikishwe na huku.
The four-day work week is here to stay at UK companies that tried it
babu zenu walifanya kaz siku nne ili nyie muje kuish kifahari leo hii?Hakuna haja ya kumuhenyesha binadamu.Nfiyo maana tunakufa mapema.Siku nne zinatosha kwa wiki.
maskin huwa wavivuWhatever mkuu, yan ambavyo tuna shida ya vyoo, Visima, mara umeme, mara madarasa, yan tuna mashida kibao, halafu tufanye kazi siku 4 ? Hizo shida atasolve nani?
hiyo Al unayo hapo East Africa , ebu tujadili kiafrika zaid na sio kama mpo afrikaHoja sio kuwa Nyuma, hii inatokana na ukuajiaji wa technolojia hasa upande wa matumizi ya AI.
Hii AI nayo ni utumbo tu.Hoja sio kuwa Nyuma, hii inatokana na ukuajiaji wa technolojia hasa upande wa matumizi ya AI.
Week end ianze ijumaa,au Kama vipi j2 itolewe tubaki na ijumaa na jmosMakampuni kadhaa yametoa matokea chanya kuhusu kuwa na siku nne tu za kazi kwa wiki.