Itakuwa ni Ijumaa na Jumamosi na Jumapili.Kazi mpaka Jumataru.Ukishikwa alkhamisi kwa tuhuma yoyote ile utakaa ndani mpaka siku ya kazi Jumatatu.Week end ianze ijumaa,au Kama vipi j2 itolewe tubaki na ijumaa na jmos
Kazi zipo, tatizo watu wanachagua kaziHizo kazi zenyewe zipo wapi ? Watu wanatafuta kazi hata siku moja kwa wiki (Kibarua wanakosa) !!
Issue ni kwamba watu hawana ajira zenye ujira na wale watumishi wa UMMA sababu kazi hazipo na wengi wanazitaka wafanye kazi kabisa siku sita na ile ya saba wapeane zamu za kuhakikisha huduma inapatikana 24/7 (kama inahitajika)
Achana tu na kazi zenye ujira wa kutosha (hizo hazipo kabisa) hata zile zenye ujira wa angalau kupata chakula mara moja kwa siku mbili nazo hazipatikani...Kazi zipo, tatizo watu wanachagua kazi
Achana tu na kazi zenye ujira wa kutosha (hizo hazipo kabisa) hata zile zenye ujira wa analau kupata chakula mara moja kwa siku mbili nazo hazipatikani...
In short Hali si Shwari
Mkuu issue ni kwamba dunia ya sasa ya teknolojia na viwanda nguvu kazi haina deal tena; teknolojia inabadilika kila leo (kufanya 2d animation ni rahisi sana) softwares Moho / Blender n.k. zimerahisisha sana kazi na tunapoelekea kazi hii inazidi kuwa rahisi kutokana na nyenzo kuwa nyingi (hivyo kuwa na quantity nyingi na sio necessarily quantity)
Tatizo kubwa watu hawana ujuzi; nilitoa tangazo la kumpata mtu anayeweza kufanya 2d animation, mpaka leo hajapatikana.
Utengeneze viatu kwa gharama (production cost) kiasi gani wakati huenda kiatu zaidi ya hicho chako kinatoka China kwa gharama robo ya wewe unachotengeneza..
Waku tengeneza viatu, hakuna
Anauza nini ? (Kama ni Bangi inayojiuza hapo sawa) ila mauzo mengi ya bidhaa nyingi za service kwa kumuuzia mtu mwenye maisha ya kukopa leo kulipa /kutokulipa keshokutwa ni ngumu sana, In short watoa huduma wamekuwa wengine kuliko wahitaji
Wa masoko, atakayelipwa 70,000 + 50% ya mauzo kwa mwezi; hakuna
Dunia ya kazi zinaweza zikawa broken down into simpler pieces na watu / unskilled wakaweza kufanya hizo kazi..., mambo mengi ni automated kwahio kazi unaweza kumpa mtu orientation ya lisaa limoja linalofuata akaingia mzigoni......
Kwa ujumla watu wana maneno mengi ila hawana ujuzi wa kuzalisha; wengine wamesoma lakini hawajui walichokisomea.
Mkuu issue ni kwamba dunia ya sasa ya teknolojia na viwanda nguvu kazi haina deal tena; teknolojia inabadilika kila leo (kufanya 2d animation ni rahisi sana) softwares Moho / Blender n.k. zimerahisisha sana kazi na tunapoelekea kazi hii inazidi kuwa rahisi kutokana na nyenzo kuwa nyingi (hivyo kuwa na quantity nyingi na sio necessarily quantity)
Sasa issue sio kufanya tu..., ni kama kuchora wengi wanaweza kuchora ingawa wachache ni creative na wanaweza kutoa kitu bora (sasa wewe je character tayari unazo au mtu abuni kuanzia character, story line mpaka mwisho) alafu akishamaliza mwaka wa pili umfukuze kazi.. Na hata wewe unadhani hilo soko kweli unalo na kuweza kuuza hizo animation hadi uweze kuwalipa watu ujira ambao utakuwa ni full time job kwao ?
Utengeneze viatu kwa gharama (production cost) kiasi gani wakati huenda kiatu zaidi ya hicho chako kinatoka China kwa gharama robo ya wewe unachotengeneza..
Pili kina Nike / Adidas n.k. walishafanya marketing ya kufa mtu mpaka mtu aje avae kiatu chatu lazima uangalie niche market fulani ambayo haijawa provided for ( na sababu watu hawana disposable income unadhani nani atanunua kiatu chatu kilichotengenezwa kwa gharama ya juu ukizingatia Nishati ipo Juu)
Anauza nini ? (Kama ni Bangi inayojiuza hapo sawa) ila mauzo mengi ya bidhaa nyingi za service kwa kumuuzia mtu mwenye maisha ya kukopa leo kulipa /kutokulipa keshokutwa ni ngumu sana, In short watoa huduma wamekuwa wengine kuliko wahitaji
Dunia ya kazi zinaweza zikawa broken down into simpler pieces na watu / unskilled wakaweza kufanya hizo kazi..., mambo mengi ni automated kwahio kazi unaweza kumpa mtu orientation ya lisaa limoja linalofuata akaingia mzigoni......
In short hakuna sustainability at all the only way katika dunia ya sasa ya automation na technology the only way ya kutoboa is to try being efficient and self sufficient as possible from the community level upwards..
Anyway since unataka kutengeneza animation ngoja nikupe story ya kutumia (its a story) but in my Humble Opinion is the Only way ya kuondoa ukosefu wa Ajira....
Riwaya: Machinga mimi Masikini
Utangulizi Maisha matamu sana, haya ni maneno ambayo nisingeweza kuyatamka miaka ishirini iliyopita, sikujua cha maisha wala uzuri…, na si mimi tu wengi tulikuwa kwenye dhahama hizo… Nasogea kwenye bustani na kuketi napigwa na upepo mzuri naona wanafamilia wakitembea kutoka makwao kuelekea...www.jamiiforums.com
On average hao Wapakistan wanapata kiasi gani katika animatizon zao ? Mbili unaongelea kutengeneza animation na mambo ya IT umecheki gharama ya Bundle lately ? Tatu dunia kweli ni kijiji na unaweza kuwauzia watu popote pale ila Bongo walaji wa hii kitu wapo (Na wote wanaokula hizi kazi Bongo wanalipia au ni watu wa Piracy)Wa Pakistan wako vizuri sana, kwenye teknolojia mpaka viwanda vidogo vidogo wanajituma sana; sisi waswahili tumewekeza sana kwenye maneno mengi kuliko utendaji, jaribu kutembelea youtube, au fb n.k; tafuta 2D animation au mambo yoyote ya IT utawaona wa Pakistan walivyo wengi.
Hizo ni kujiridhisha tu kwamba watu wafundishwe kujitafutia kazi ; Mtaani ni pagumu and at current environment panahitaji discipline ya hali ya juu na hata hivyo bado wachache wana-survive kwahio tunahitaji sera zitakazohakikisha majority atleast wanapata basic needsNachoweza kusema huku kwetu vyuo vinatengeneza matatizo (job seekers ambao sio competent), badala ya kutengeneza watu watakao tatua tatizo.
Ndio dunia mpya na utaratibu mpya wa kuishi unakuwa ingizwa kwa wakaazi wa duniaMakampuni kadhaa yametoa matokea chanya kuhusu kuwa na siku nne tu za kazi kwa wiki.
Utafiti huo ulioonza mwaka 2022 umeshaanza kushirikisha na makampuni ya nchi nyengine nje ya Uiengereza.
Cha kujiuliza ni jee watanzania na waafrika kwa ujumla wiki hii itawafaa na jee watafuata mkumbo kama ambavyo kinachoanzia huko lazima kifikishwe na huku.
The four-day work week is here to stay at UK companies that tried it
Universal basic income ni lazima kwa ulimwengu huu ,hasa huku tunapoelekeaOn average hao Wapakistan wanapata kiasi gani katika animatizon zao ? Mbili unaongelea kutengeneza animation na mambo ya IT umecheki gharama ya Bundle lately ? Tatu dunia kweli ni kijiji na unaweza kuwauzia watu popote pale ila Bongo walaji wa hii kitu wapo (Na wote wanaokula hizi kazi Bongo wanalipia au ni watu wa Piracy)
Hizo ni kujiridhisha tu kwamba watu wafundishwe kujitafutia kazi ; Mtaani ni pagumu and at current environment panahitaji discipline ya hali ya juu na hata hivyo bado wachache wana-survive kwahio tunahitaji sera zitakazohakikisha majority atleast wanapata basic needs
Haiwezekaniki Mkuu kuna kitu kinaitwa A Carrot or a Stick...; nikirejea Haya katika riwaya hapo juu niliyomshauri Equation x asome..........Universal basic income ni lazima kwa ulimwengu huu ,hasa huku tunapoelekea
Walipwe ili zile pesa wapewe kina nani ili zifanye nini ? Kumbuka kama kila kitu ni bure (hakuna uhitaji wa nguvu kazi) sasa hata yule anayefanya anafanya kwa malipo ili iweje ?Hata Elon Musk aliwahi andika , itafika mahala watu ni lazima walipwe na serikali kupata basic items za kimaisha ,maana hakutakuwa na kazi wala business opportunity za aina yoyote kwa commoners ,
Big corporations na AI zitatake over kila kitu
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app