Wiki ya usalama barabarani, Polisi tuwaeleze ukweli

Wiki ya usalama barabarani, Polisi tuwaeleze ukweli

Mzalendo120

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2022
Posts
1,842
Reaction score
2,410
Leo waziri mkuu mh. Kasim Majaliwa amezindua wiki ya usalama barabarani.

Miongoni mwa watu wanachangia ajali za nyingi za barabarani ni polisi kupitia KIKOSI CHA KAMATA KAMATA
Polisi hao wanaokimbiza pikipiki bila utaratibu,wanachomoa funguo kwenye pikipiki sasa muendesha pikipiki anapowakwepa polisi ndio ajali hutokea na hatimae vifo.

Makosa ambayo yanamfanya mtu akimbie nikukosa helment,kuvaa viatu vya wazi nk.

Sasa swali la kujiuliza je akiwa amevaa ndala anaweza kusababisha ajali kubwa kama ambavyo anawatoroka kikosi cha kamatakamata?

Je kukosa kofia ngumu kwa mwendo wa kawaida kunaweza kusababisha ajali kubwa kama mtu anapowakimbia polisi akaenda kulivaa gari?

Nyie kamatakamata Kipindi kilichopita hamkua mnasumbua je kwanini leo?

Polisi badilikeni
 
Kwabaadhi ya maeneo wanatembea na silaha kamavile wanasaka majambazi. Hii sio sawa polisi badilikeni punguzeni ajali acheni kuchochea ajali
 
Back
Top Bottom