Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
Pole kwa yalokukuta
Pole kwa yalokukuta
Shit happens,life goes on
Ukidate na mtu lolote linaweza kutokea wakati wowote...sio chuoni tu
Shit happens,life goes on
Ukidate na mtu lolote linaweza kutokea wakati wowote...sio chuoni tu
Kuna vingi vya kumuomba Mungu kabla hujamuomba mpenz wa maisha.
Upo mwaka wa ngapi?
Wa tano
Omba dudu
Mbombo ngafuHapana hayo mazingira nilishayapita siku nyingi ila nimetoa mifano hai ambayo iliwahi tokea pale Tumaini Dada wa watu alikunywa sumu baada ya kutoamini alichokiona.
TunajuaHii ndio wiki ambayo utasikia watu wamelazwa kwasababu ya mapenzi.
Walipokutana chuoni Mara ya kwanza waliambiana sijaoa wala sina mpenzi , hivyo wakakubaliana kuishi mume na mke na pengine kuja kuoana. Lakini siku ya mahafali Jamaa anatimba chuoni na familia yake, huku Dada wa wawatu huamini kile unachokiona unajikuta tu uko wodini na wakina kaka navyo hivyo hivyo Sikh ya mahafali unamuona yule mlieahidiana kuoana anakuja na mchumba ake ambaye alishatambulishwaga hadi kwao. Mzee baba unaishia kutumbua mimacho tu.
Mapenzi ya chuoni sio ya kuyachukulia serious.