Wiki ya vilio na maumivu kwenye mahafali

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Posts
4,208
Reaction score
14,143
Hii ndio wiki ambayo utasikia watu wamelazwa kwasababu ya mapenzi.

Walipokutana chuoni Mara ya kwanza waliambiana sijaoa wala sina mpenzi , hivyo wakakubaliana kuishi mume na mke na pengine kuja kuoana. Lakini siku ya mahafali Jamaa anatimba chuoni na familia yake, huku Dada wa wawatu huamini kile unachokiona unajikuta tu uko wodini na wakina kaka navyo hivyo hivyo Sikh ya mahafali unamuona yule mlieahidiana kuoana anakuja na mchumba ake ambaye alishatambulishwaga hadi kwao. Mzee baba unaishia kutumbua mimacho tu.

Mapenzi ya chuoni sio ya kuyachukulia serious.
 
Pole kwa yalokukuta

Hapana hayo mazingira nilishayapita siku nyingi ila nimetoa mifano hai ambayo iliwahi tokea pale Tumaini Dada wa watu alikunywa sumu baada ya kutoamini alichokiona.
 
Kuna vingi vya kumuomba Mungu kabla hujamuomba mpenz wa maisha.
 
Hivi vitu havina formula the love of my life Mimi na yeye tulianza chuo wote na mpaka tunamaliza hatujawahi tengana mpaka umauti unamkuta
 
Hii ndio wiki ambayo utasikia watu wamelazwa kwasababu ya mapenzi.

Walipokutana chuoni Mara ya kwanza waliambiana sijaoa wala sina mpenzi , hivyo wakakubaliana kuishi mume na mke na pengine kuja kuoana. Lakini siku ya mahafali Jamaa anatimba chuoni na familia yake, huku Dada wa wawatu huamini kile unachokiona unajikuta tu uko wodini na wakina kaka navyo hivyo hivyo Sikh ya mahafali unamuona yule mlieahidiana kuoana anakuja na mchumba ake ambaye alishatambulishwaga hadi kwao. Mzee baba unaishia kutumbua mimacho tu.

Mapenzi ya chuoni sio ya kuyachukulia serious.
Tunajua
 
Back
Top Bottom