Inapika anguko la Makolo kwa mwaka wa tatu,na kuwaandaeni kisaikologia kwa miaka mingine 4 ijayo,ili ile ahadi yetu kwa kolo,Kuwa karanga miaka saba itumie😂😂😂Imekuwa tofauti kabisa safari hii wanainchi wana supriz gani?, maana sio kawaida kabisa, binafsi nahisi kuna bomu wanaenda kulipua tar. 22/07/2023
Goja tuone!
Wajo edaImekuwa tofauti kabisa safari hii wanainchi wana supriz gani?
Maana sio kawaida kabisa, binafsi nahisi kuna bomu wanaenda kulipua tar. 22/07/2023
Ngoja tuone!
kweli aise sio kwa ukimya huuInapika anguko la Makolo kwa mwaka wa tatu,na kuwaandaeni kisaikologia kwa miaka mingine 4 ijayo,ili ile ahadi yetu kwa kolo,Kuwa karanga miaka saba itumie[emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee wa kilingeni,mbona hata hujajitolea kuwasaida wasihangaike,watasubiri miaka 5 ijayo kurudi kwenye mafanikio makubwa zaidi waliyowahi fanikiwa kuyafikia🤔
Sijaata oda badoMzee wa kilingeni,mbona hata hujajitolea kuwasaida wasihangaike,watasubiri miaka 5 ijayo kurudi kwenye mafanikio makubwa zaidi waliyowahi fanikiwa kuyafikia[emoji848]
Kwanza wameifanya mapema sana.Imekuwa tofauti kabisa safari hii wanainchi wana supriz gani?
Maana sio kawaida kabisa, binafsi nahisi kuna bomu wanaenda kulipua tar. 22/07/2023
Ngoja tuone!
Wanasubiri manara jumamosi atambulishe wachezaji....na safarihii TFF wasipomfungia maisha tutajua kuna namna😆😆Kwanza wameifanya mapema sana.
Pili wamefunikwa na Kibegi cha Simba..yaani kinatrend kuliko hiyo siku yao.
Utopolo kwa kweli wamekata tamaa...wamelowa mapemaaa