Wiki ya Wananchi imepoa sana

Wiki ya Wananchi imepoa sana

macro

Senior Member
Joined
Feb 15, 2019
Posts
115
Reaction score
122
Imekuwa tofauti kabisa safari hii wanainchi wana supriz gani?

Maana sio kawaida kabisa, binafsi nahisi kuna bomu wanaenda kulipua tar. 22/07/2023

Ngoja tuone!
 
Imekuwa tofauti kabisa safari hii wanainchi wana supriz gani?, maana sio kawaida kabisa, binafsi nahisi kuna bomu wanaenda kulipua tar. 22/07/2023

Goja tuone!
Inapika anguko la Makolo kwa mwaka wa tatu,na kuwaandaeni kisaikologia kwa miaka mingine 4 ijayo,ili ile ahadi yetu kwa kolo,Kuwa karanga miaka saba itumie😂😂😂
 
Inapika anguko la Makolo kwa mwaka wa tatu,na kuwaandaeni kisaikologia kwa miaka mingine 4 ijayo,ili ile ahadi yetu kwa kolo,Kuwa karanga miaka saba itumie[emoji23][emoji23][emoji23]
kweli aise sio kwa ukimya huu
 
Simba ni lidude likubwa sana trending ni simba sshv kibegi cha jezi [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Hawana cha kufanya sasa wafanye nini?
Au mayele hajauzwa?.
 
Imekuwa tofauti kabisa safari hii wanainchi wana supriz gani?

Maana sio kawaida kabisa, binafsi nahisi kuna bomu wanaenda kulipua tar. 22/07/2023

Ngoja tuone!
Kwanza wameifanya mapema sana.
Pili wamefunikwa na Kibegi cha Simba..yaani kinatrend kuliko hiyo siku yao.
Utopolo kwa kweli wamekata tamaa...wamelowa mapemaaa
 
Kwanza wameifanya mapema sana.
Pili wamefunikwa na Kibegi cha Simba..yaani kinatrend kuliko hiyo siku yao.
Utopolo kwa kweli wamekata tamaa...wamelowa mapemaaa
Wanasubiri manara jumamosi atambulishe wachezaji....na safarihii TFF wasipomfungia maisha tutajua kuna namna😆😆
 
Back
Top Bottom