Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
fidel jamani haya nitakutafuta basi ili twende kesho.Mpaka tuongozane maana wengine ukiwaelekeza wanaanza kukutoroka wanaenda kula peke yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fidel jamani haya nitakutafuta basi ili twende kesho.Mpaka tuongozane maana wengine ukiwaelekeza wanaanza kukutoroka wanaenda kula peke yao
mkuu umemade my wekend!Umenikumbusha bwashee jamani acha tu bwana ile asubuhi mchemsho au mtori au ile supu utumbo au kuku jamani zimebakia kuwa enzi zile
saturday nite unaweza kwenda sweet eazy oysterbay mida ya saa 9pm hadi 2am. ukajirushe na Band ya machozi.
Wadau baada ya kukaa mkoani for ten years nimeona week end hii nije bongo nibadilishe mazingira kidogo na kuona mapya ya hapo mjini kwetu. Hivi wapi naweza kwenda kula vitu vyangu(kilaji na mchemsho wa samaki/kuku/mbuzi). Ntaingia mujini leo(Ijumaa) jioni, jumapili mchana narudi job mkoani. Nawatakieni week end njema nanyi.
unajua mimi nilidhani unabeba box umeamua kuja dar mara moja!lol
kumbe unatoka sitimbi
hapana bwana wacha woga wewe, mkaribishe jamaa naomba usinifanye kama ni mfano ile ni bahati mbaya tu mkubwa. Umenichekesha kweli mpaka watu wananishangaa nacheka niniNingekukaribisha ila kuna funzo nimelipata humu humu JF. Kuna jamaa alienda huko Mafinga akakaribishwa na kaka wa rafiki yake at the end of the day kammega dada yao pale pale home alipofikia. Wabongo wengine wamepagawa kwelikweli!
eti wanaogopa kumegewa dada zao na wagenihuyu mgeni njoo wenyeji wapone sijaona hata mmoja anayesema atamkaribisha kwake mnaogopa 🙂
hapana bwana wacha woga wewe, mkaribishe jamaa naomba usinifanye kama ni mfano ile ni bahati mbaya tu mkubwa. Umenichekesha kweli mpaka watu wananishangaa nacheka nini
fidel jamani haya nitakutafuta basi ili twende kesho.
Ningekukaribisha ila kuna funzo nimelipata humu humu JF. Kuna jamaa alienda huko Mafinga akakaribishwa na kaka wa rafiki yake at the end of the day kammega dada yao pale pale home alipofikia. Wabongo wengine wamepagawa kwelikweli!
Hapa JF tunajifunza mengi sana. Si uliona ile story ya jamaa aliemega dada wa host wake kule mafinga? Namna hii waweza mkaribisha mtu kwako akammega mkeo bure!!! Wengine tuna wake na hatuna dada wala housegals itakuaje hapo?
Kesho si ndo leo nilisha fanya booking kilo 2 tayari.
Kwenye kiti moto wachovu mi niliagiza nikaletewa kitimoto imegeuka kuwa biskuti ngumu balaaa.
labda siku hizi wamekuwa wachovu!ila enzi zile tukiwa pale foe acha kabisa ilikuwa ni kushuka kidogo tu kwa ajili ya kwenda kitimoto cha sisimizi na ice kwa pembeni jaamani acha tu