Wikiendi yangu ya leo

Wikiendi yangu ya leo

Kwa wale wabibi watu wazima mliomo humu jukwaani! Hamjatengwa!! Kwa yeyote yule mwenye nafasi, aje Lushoto siku ya kesho ili abadilishe mazingira.
Chakula na malazi ni juu yangu. Nauli ya kuja na kurudi, ni juu yako mwenyewe.

NB:- Jitahidi uje peke yako. Usije na wajukuu wako.
 
Nina ka mia tano hapa mfuko wa shati 😀, natafuta pisi inayojitambua tukaitumie jioni ya leo.

Matumizi yatakuwa kama ifuatavyo:-​
  • Chakula.........100,000/=​
  • Vinywaji.........200,000/=​
  • Malazi..............100,000/=​
  • Tahadhari........100,000/=​
Kama unajiamini wewe ni pisi kali, ukipita sehemu lazima watu wavunjike shingo kwa kukutazama, sogea karibu uje ufurahi na marafiki.​
😀😀😀 kila la heri mkuu ila utavuna unachotaka kukipanda
Sawa mkuu
 
Kwa wale wabibi watu wazima mliomo humu jukwaani! Hamjatengwa!! Kwa yeyote yule mwenye nafasi, aje Lushoto siku ya kesho ili abadilishe mazingira.
Chakula na malazi ni juu yangu. Nauli ya kuja na kurudi, ni juu yako mwenyewe.

NB:- Jitahidi uje peke yako. Usije na wajukuu wako.
Mwezi wa kulipa ada huu 😀
 
Back
Top Bottom