Wikiendi yangu ya leo

Kwa wale wabibi watu wazima mliomo humu jukwaani! Hamjatengwa!! Kwa yeyote yule mwenye nafasi, aje Lushoto siku ya kesho ili abadilishe mazingira.
Chakula na malazi ni juu yangu. Nauli ya kuja na kurudi, ni juu yako mwenyewe.

NB:- Jitahidi uje peke yako. Usije na wajukuu wako.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kila la heri mkuu ila utavuna unachotaka kukipanda
Sawa mkuu
 
Mwezi wa kulipa ada huu πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…