Wikiendi yangu ya leo

Kabisa mimi nina mjua mmoja anaishi London ni chuma cha hatari yupo humu, tunafahamiana nae kuna mda nachangia utumbo humu analike au kucheka mpka najishtukia .

Nikisema chuma sie ile mpka useme chuma kwa macho yangu ,hii ni pisi kwa kila mtu anaepumua mkuu.
 
Pamoja kamanda, sema tu vijana wajeuri wana hasira na maisha ndio maana wanatukana sana watu wasiowajua😂
Unachokisema ni kweli Mkuu nilishawahi kukutana na Dada fulani humu humu na sasa hivi hayuko tena active. Lakini namba yake kanipa ana ishu zake za maana sana lakini Vijana wa humu walivyo wa hovyo walikuwa wanam quote na kumshusha sana thamani. Lakini kiuhalisia maisha yake ni standard
 
Humu tunaishi nao tyuu!! Km ulivyo ww unavyotuchukulia poa 😂😂😂😂
 
Waambie na "uchakavu wa godoro" unalipa Tsh ngapi?
 
Kawaida kwenye ulimwengu wa fake ids hatujuani kila mtu anaongea anavyojisikia.
 
Watakumwanza
 
Maxence Melo hata hatuheshimu, asingekua anafuta nyuzi zetu kirahis rahis tu
Mkuu huyu jamaa utamuonea na ni mara chache sana yeye kujihusisha na JF. Hata ukiwa na shida ukimcheki kwa WhatsApp anakupa maelekezo vizuri shida ipo kwa hawa Moderators. Kama mwezi mmoja na zaidi alinicheki WhatsApp kuhusu matumizi ya email yenye domain ya Jamiiforums. Lakini tayari hiyo Technical team ya JF walishaifuta na wamenitia sana hasara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…