Wikiendi yangu ya leo

Wikiendi yangu ya leo

Sure , i had a trip to Moshi town last 3 weeks, niliitwa na member mmoja humu, japo alikuja kwa id mpya ili nisimtambue, ilikua ni mazungumzo strict ya kazi. Aloo, kuna pisi humu. Sema yeye ni age go kidogo around 40 hiv, kashuka zake mwenyewe ana push Harrier yake kali. Tukamaliza nikasepa kurud town ,na hiyo id sijaona tena ikiwa active ndio nikajua ilikua kikazi zaid..
So , wapo wanawa zoom tu vujana mnavyoleta makeke ya kifala fala, mara ooh single maza, mara nyoko nyoko,🙄wao kimyaaa 😂😂. Women are so clever.
Kabisa mimi nina mjua mmoja anaishi London ni chuma cha hatari yupo humu, tunafahamiana nae kuna mda nachangia utumbo humu analike au kucheka mpka najishtukia .

Nikisema chuma sie ile mpka useme chuma kwa macho yangu ,hii ni pisi kwa kila mtu anaepumua mkuu.
 
Pamoja kamanda, sema tu vijana wajeuri wana hasira na maisha ndio maana wanatukana sana watu wasiowajua😂
Unachokisema ni kweli Mkuu nilishawahi kukutana na Dada fulani humu humu na sasa hivi hayuko tena active. Lakini namba yake kanipa ana ishu zake za maana sana lakini Vijana wa humu walivyo wa hovyo walikuwa wanam quote na kumshusha sana thamani. Lakini kiuhalisia maisha yake ni standard
 
Humu tunaishi nao tyuu!! Km ulivyo ww unavyotuchukulia poa 😂😂😂😂
 
Nina ka mia tano hapa mfuko wa shati 😀, natafuta pisi inayojitambua tukaitumie jioni ya leo.

Matumizi yatakuwa kama ifuatavyo:-​
  • Chakula.........100,000/=​
  • Vinywaji.........200,000/=​
  • Malazi..............100,000/=​
  • Tahadhari........100,000/=​
Kama unajiamini wewe ni pisi kali, ukipita sehemu lazima watu wavunjike shingo kwa kukutazama, sogea karibu uje ufurahi na marafiki.​
Waambie na "uchakavu wa godoro" unalipa Tsh ngapi?
 
Sure , i had a trip to Moshi town last 3 weeks, niliitwa na member mmoja humu, japo alikuja kwa id mpya ili nisimtambue, ilikua ni mazungumzo strict ya kazi. Aloo, kuna pisi humu. Sema yeye ni age go kidogo around 40 hiv, kashuka zake mwenyewe ana push Harrier yake kali. Tukamaliza nikasepa kurud town ,na hiyo id sijaona tena ikiwa active ndio nikajua ilikua kikazi zaid..
So , wapo wanawa zoom tu vujana mnavyoleta makeke ya kifala fala, mara ooh single maza, mara nyoko nyoko,🙄wao kimyaaa 😂😂. Women are so clever.
Kawaida kwenye ulimwengu wa fake ids hatujuani kila mtu anaongea anavyojisikia.
 
Nina ka mia tano hapa mfuko wa shati 😀, natafuta pisi inayojitambua tukaitumie jioni ya leo.

Matumizi yatakuwa kama ifuatavyo:-​
  • Chakula.........100,000/=​
  • Vinywaji.........200,000/=​
  • Malazi..............100,000/=​
  • Tahadhari........100,000/=​
Kama unajiamini wewe ni pisi kali, ukipita sehemu lazima watu wavunjike shingo kwa kukutazama, sogea karibu uje ufurahi na marafiki.​
Watakumwanza
 
Maxence Melo hata hatuheshimu, asingekua anafuta nyuzi zetu kirahis rahis tu
Mkuu huyu jamaa utamuonea na ni mara chache sana yeye kujihusisha na JF. Hata ukiwa na shida ukimcheki kwa WhatsApp anakupa maelekezo vizuri shida ipo kwa hawa Moderators. Kama mwezi mmoja na zaidi alinicheki WhatsApp kuhusu matumizi ya email yenye domain ya Jamiiforums. Lakini tayari hiyo Technical team ya JF walishaifuta na wamenitia sana hasara
 
Back
Top Bottom