Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Njoo basi hapa kejani msupuuHapana kwa kweli!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo basi hapa kejani msupuuHapana kwa kweli!
SijiNjoo basi hapa kejani msupuu
Mkuu kama una mia ya karibu,nitumie 😀Mkuu mwanaume mwenzako nakkufa nja huku niazime hata laki na Mungu atakubariki .
mkuu watu wenye hela hawajui kuandika we mwenyewe si unaona Floyd Mayweather Jr. ye anajua kusoma 6 figures tuTaadhari❌
Tahadhari✅
Basi tajiri equation sitomrekebisha tenamkuu watu wenye hela hawajui kuandika we mwenyewe si unaona Floyd Mayweather Jr. ye anajua kusoma 6 figures tu
Acha kurukaruka kama popcorn basiSiji
Acha maneno, choma ndani 😀Basi tajiri equation sitomrekebisha tena
Pesa hazina kelele! Wewe mbona una kelele hivi?Acha maneno, choma ndani 😀
yaah man, mkaushie tu, hela bwana ina heshima yakeBasi tajiri equation sitomrekebisha tena
Pesa ina mahusiano gani, mwili kwa mwili 😀Pesa hazina kelele! Wewe mbona una kelele hivi?
Ko utaki auPesa hazina kelele! Wewe mbona una kelele hivi?
Umejuaje hili ? Pesa haina kelele kivp?Pesa hazina kelele! Wewe mbona una kelele hivi?
Ushawahi kupita Masaki halafu ukapita Kigogo?Umejuaje hili ? Pesa haina kelele kivp?
Unantaftia ban😄Hao kina lipumba na ndugai wa tag mimi ndio ninawatafuta mkuu.
Hata huwa sijui kama ban huwa inapatikana kwa namna hiyo ,kumbe🙄Unantaftia ban😄
Hahaha ila kwel mchumba , 😜 nimejisahau kumbe mimi sio mchumba wako🙄Ushawahi kupita Masaki halafu ukapita Kigogo?
Ushawahi kwenda bank?
Ushawahi kupanda daladala konda ana burungutu la noti mfukoni na chenji mkononi wapi huwa unasikia kelele? Kwenye noti au chenji?
Yeah! Hana shida na hajui hata kukasirika mimi nikiwa na mtu mwenye hasira nitadundwa kila sikuMchumba wako hana shida ni mtu muungwana sana