Wikiendi yangu ya leo

Wikiendi yangu ya leo

Sijawahi kumreport mtu
Humu kuna memba na mamba
Muda mwingine tunakosea inakua bahati mbaya inatokea unazoeana na mtu asiye sahihi kupitiliza, kwenye mazoea kila mtu na lengo lake mmoja anataka mzigo mwingine anajua huyu ni mshkaji tumezoeana tu

Mtu akinyimwa mzigo ananuna anatumia ids zake nyingine kukusakama
Kitu nilichojifunza ni kufunga pm, maongezi yote jukwaani🤸
Unapoteza fursa wewe 😀 😀
 
Sawa na mimi kwenye mitongozo yangu yote kwako nafanyia humu humu nimeipenda hiyo 🤗
 
Kabisa mkuu
Tunajifunza kutokana na makosa na watu tunaokutana nao

Equation x tupe feedback
Sure binafsi jf nimekutana na watu makini na muhimu sana kwenye maisha yangu, naona jf wananidai nyuzi kana 10 za moto ,sema najiona bado sina uwezo wa kuanzisha uzi kutokana na miamba ya nyuzi humu wana weledi mkubwa naona mimi bado aisee.
 
Unahofia nini? Kama uandiki mbona unajua kuandika! Muhimu zimgatia aya na upangaji mzuri wa matukio
Jf imenikutanisha na watu wawili wa muhimu sana kwangu
 
Back
Top Bottom