Tetesi: Wikileaks: CIA imeibiwa Mbinu za kudukua mitandao (Cyber weapons)

Tetesi: Wikileaks: CIA imeibiwa Mbinu za kudukua mitandao (Cyber weapons)

shige2

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
8,106
Reaction score
3,966
Wikileaks imelishtua shirika la ujasusi la Amerika CIA baada ya taarifa za siri za shirika hilo KUTOLEWA HADHARANI.
Habari hizo zinasema kuwa MAELFU ya CODES ambazo CIA walikuwa wakituzimia kudukua, Smart TV za aina mbalimbali hasa
zile za
SAMSUNG,
Simu za kupangusa- Androids,
Google,
Iphone na
Microsoft Windows ni miongoni mwa zile ambazo zilikuwa ni MLENGWA mkuu wa CIA. Miongoni mwa zilizoibiwa ni za
Hacking systems,Trojans, Viruses, -Virusi na other WEAPONIZED Malware.

Moja ya Program waliokuwa wakiitumia iitwayo WEEPING ANGEL, imechukuliwa. HOFU kuu sasa ni kuwa program hiyo pia inaweza kuwa mikononi mwa MAJASUSI wa nchi zingine.

Hii imewapa CIA mzigo mzito sana katika kazi zao. Mwaka 2016 CIA inasemekana walitumia CODES nyingi zaidi kuliko zinazotumika katika Facebook kulingana na ripoti ya Wikileaks.

Wikileaks imetoboa siri kuwa CIA ilitumia mbinu za kudukua watu katika TV zao na SIMU zao za MKONONI.

Katika moja ya mbinu hizo SIMU ama TV ingejifanya IMEZIMA KIFEKI "FAKE OFF mode'. Mwenye Tv ama simu yake angeona imejizima na kumbe iko ON na KUREKODI maongezi yake ya
CHUMBANI,
OFISINI,
MIKUTANO NYETI ya KIUSALAMA nk.
na kutuma kupitia INTERNET mpaka kuliko na server ya SIRI ya CIA {Covert Server}

Pamoja na hayo CIA walikuwa na uwezo wa kuingilia
WEB SERVERS,
COMPUTERS,
SMARTPHONES,
TVs na KUZIGEUZA kuwa MIKROFONI yaani chombo cha kusikilizia mambo bila mmiliki KUJUA.

Wikileaks inasema.
CIA- Center for Cyber Intelligence ilipoteza UWEZO wake wa SILAHA zake za ku HACK na BADALA yake GURUPU la mtandao wa WATU wa WIKILEAKS ndo WANAZITUMIA mbinu HIZO HIZO katika KUWADUKUA CIA.

Inasemekana tangu ripoti hiyo itoke JUMANNE wiki hii, CIA nzima IMEHAHA, HAPAKALIKI. Kila mmoja ANAMSHUKU MWENZAKE!

Kutokana na hilo FBI wameanza UCHUNGUZI mkali kubaini ni NANI MIONGONI mwa wafanya kazi na WATUNZA siri wa CIA wanashirikiana na Wikileaks katika KUVUJA siri hizo nyeti zilizokuwa ZIKIWASAIDIA sana CIA kufanya ESPIONAGE bila shida.Na sasa inabidi kubadili CODES kila mara na INAWAWIA VIGUMU.
Sasa kila mtu ni MSHUKIWA mpaka watakapompata mhusika.

Hasa ikizingatiwa kuwa baada ya Edward Snowden kutoroka walifikiri wamemaliza kumbe KUNA WENGINE WENGI ndani ya shirika hilo ambao bado wanatoa siri.
Chanzo: Wikileaks
 
Kwa maana hiyo vifaa vyote vya electronics ni hatari kwa usalama wetu
 
Raisi wa Marekani Hutumia simu ambayo haiko connected na Internet, Yani haiwezi peruzi Mtandaoni, Kiuhalisia electronics Device almost nyingi sio safe Usa hupandikiza Chip humu wakati wa manufacturer Kwa kuangalia tu kifaa hiki kitatumiwa na nani na tunapaswa kujua anafanya na Kuishi vipi, Marekani na mataifa endelevu ni Yana siri kubwa mno mno haswa linapokuja swala la Elimu namiiini hata hii elimu yetu tunayoisoma vyuoni ni outdated kabisaa na yeye alitumia Miaka mingi nyuma, Advance Tech iko hiden mataifa kama Japan huamka kila uchao na kufanya innovation sisi tumelala na kungangania Old knowledge yani basic tuu, Elimu Elimu Elimu Siasa ni ya kijinga na yakuweka kando kabisa, We need intellectuals, mzungu anametupa mitaala iliyopitwa na muda kuzidi kututawala ni Muda wa kuwa serious mno mno na Technology, naamini hata mkulu wa Magogoni Anadukuliwa tu, Leo Taifa fulani linatoa msaada wa computer za kutumika bungeni au katika ofisi za serikali na sisi tunaona poa tu hio ni mbaya mno mno kiusalama, Secret Service wamemleta Obama Na kupekua kila Angle ya ikulu Freely.
 
Ila baada ya Snowden kutoa siri nilijua tu kwamba CIA watakua na mbinu mpya na Hata baada ya hii kuvuja bila Shaka kuna kitu kingine kinapikwa huko. Ila hawa jamaa wamezid kwa kweli.
 
Tatizo ni moja tuu, kuna majasusi wamepandikizwa hapo ambao ni vibaraka wa mataifa ya nje.
Hilo linajulikana hata KGB au Ml6 kuna majajusi pia wa mataifa mengine ndo maana hawa watu wanajuana in-out.
 
Back
Top Bottom