Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ni ya mwaka 2017?
Ndio kusema Ubalozi wa Marekani ulikosea tarehe au hii imepikwa huko Kenya?
You discussed with Dalai Lama?! Wewe!? Jamani tumuogopeni Mungu!!
Mimi ninayemjua Andrew siwezi kushangaa kwa sababu nishakutana naye katika mkutano wa kutafsiri "Dhammapada" kwenda kwenye Kiswahili. Kwa hiyo habari ya kumuandikia Dalai Lama hata si hatari, hata kama angeniambia kapanda Dharamsala kwenda kumuona kwenye seat of exiled government nisingeshangaa. Dalai Lama ni mtu wa watu sana, hata wewe ukimwandikia siwezi kushangaa akikujibu mwenyewe, kutegemea na schedule yake kwa wakati huo.
Halafu Andrew anaweza kukwambia kwamba ametuma email tu na kuanza kudiscuss email na Dalai Lama kwenye meditation yake.
Hata hujajua ka discuss vipi usharukia?
Whos dalai lama watu wasi discuss naye?
You discussed with Dalai Lama?! Wewe!? Jamani tumuogopeni Mungu!!
Yes Kunta Kinte, It is highly possible. You can even disscuss with anyone in this world. Of course Andrew Nyerere is right to express his feelings. I did almost the same to discuss with Rt Rev Jesse Jackson political fate of SA, I also had a couple of dialogue with Jerry Rawlings the other time. It was face to face encounter. All of us, we are equal but in different positions.
Don't imitate this phrase "Why was I born in this race?"
"Why was I not born in different face?"
"I wish I would have smile"
"Which could lead me to an extra mile"
Out of you Box Kunta.
Haya maswala ya dictatorship ni irrelevant. Kazi ya Serikali ni kuondoa ufisadi na kuinua hali ya maisha ya watu. It does not matter what form of government is used to achieve these objectives.
Halafu huyu mtu anaongea haya mambo kama campaing rhetoric. Mimi nilikuwa Nairobi wakai ule in 200,nilimtumia Dalai Lama e-mail kumjadili Raila Odinga,jinsi ambavyo Raila Odinga angeweza kuwa kiongozi mzuri wa Kenya,I was discussing it with the Dalai Lama.
Kwa hiyo hii ndio ku discuss na Dalai Lama? Nadhani ulivyomuuliza Andrew Dalai Lama alijibu nini ungesubiri majibu yake kabla ya kuanza kunisuta.
Nikidiscuss na Secretary wa MD nitakuwa nimediscuss na MD?
Yale mambo tulikuwa tunadiscuss na Dalai Lama. Nilikuwa Nairobi in 2000.kulikuwa na Uchauzi,kulikuwa na campaign kubwa kule. Nikatuma e-mail kwa Dalai Lama,naongea na secretary wake anaitwa Rinchen,nikamwambia nasikitika kuhusu hasira wanazoonyesha waandamanaji wa Tibet. Hasira za nini wanapogombana na Wachina,hawawezi kumchoma kisu Mchina bila kuwa na hasira?
Yule secretary ananiandika anasema,Dalai Lama anataka ufafnue zaidi kuhusu maneno uliyoandikakwa nini umeandika vile.
Kwa hiyo mi namjibu,nipo hapa Nairobi kuna Kampeni za Uchaguzi zinaendelea. Raila Odinga analaumiwa kwamba anahsika na kifo cha University Professor mmoja ambaye alikuwa ana hasira sana. Mimi nilizitfakari sana hizi tuhuma dhidi ya Raila. Halafu ikaja aya akilini mwangu,unbidden,aya ya Budha . Budha aliulizwa,''Budha,do you recommend killing,is there anytime that you would recommend kllling?'' Budha akasema,''I recommend the slaying of anger''
Nikajibiwa,keep on writing ,Dalai Lama anapenda mambo unayoandika
Andrew anakwenda kwenye fourth spatial dimension kutafuta dark matter akinywa quinine na kufanya meditation, anadiscuss hata na Buddha au Yesu.
Nini Dalai Lama tu.
Halafu si jambo la ajabu kuwasiliana na a busy world leader through an intermediary.
Context.
Mkuu inawezekana unachosema, unaweza ku discuss na mtu usiyemjua kwenye suala linalohusu field yake na si field tofauti. mfano naweza kumpigia simu mkuu wa polisi nikaongea naye masuala yahusuyo ujambazi na majambazi na akanisikiliza hata kama hanijui, lakini ni ngumu kuongea naye siasa kwani hiyo sio field yake na hawezi iongelea kwa mtu mgeni kwake
Andrew angesema ameongea na Dalai Lama kuhusiana na masuala ya Tibet na waTibet au Wachina nisingeshtuka, lakini yeye kusema ameongea naye kuhusiana na Raila Odinga na jinsi gani angeweza kuwa raisi mzuri kwa Wakenya hilo kwangu ni gumu kuamini
Babaji? born 200 AD and still alive today- must be kidding!It was the year 2000 and not 200,thank you for noticing the mistake. Inekuwa 200,basi mimi ningekuwa Babaji,amabye alizaliwa Chenai[Madras],mwaka 200,na mpaka leo yuko hai.
You discussed with Dalai Lama?! Wewe!? Jamani tumuogopeni Mungu!!
Babaji? born 200 AD and still alive today- must be kidding!
Babaji was born 200 AD ,in Madras,he is still alive today. He is 16 years old. Why don't you google it or look at youtube.