Wilaya ambazo hazijawamalizia pesa za kujikimu walimu wapya mnawatesa kuweni na ubinadamu

Wenzenu mwaka jana tulilala pale Halmashauri ya wilaya ya Magu, baada ya hapo kila kitu kilenda sawa kbs. Acheni kulalamika, jiungeni muwe na sauti moja hapo mtackilizwa!
 
walitupa TSH157500 toka tarehe1,mpaka leo njaa kali vbaya sana! jana nmeandka barua na wameniambia eti PESA YA SERIKALI ina mchakato mrefu,kwa hyo nisitegemee wiki hii,labda wiki mbili zipite, N:B-NAHSI KAZI NGUMU KWELI,NATAMANI NIRUDI NYUMBANI.

Mwandikie Mkurugenzi Barua Ya Kumjulisha Kuwa Unarejea Nyumbani Hadi Hapo Hela Itakapopatikana Wakujulishe Ili Urudi Uendelee Na Kazi Kwani Huna Pesa Utaishije?
 

NAMTUMBO pia ni wilaya ambayo haijawalipa walimu pesa zote. wamepewa za cku tatu tu. mbaya zaidi wamepelekwa vituo vya mbaaaali nauri hadi 25000/=. jamani inakatisha tamaa hata kupiga pindi ukikumbuka umenyimwa pesa zako. jamani watumishi wa halmashauri badilikeni bana make mnachangia kwa kiasi kikubwa kuharibu elimu. walimu wanapata shidaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…