Wilaya gani katika mkoa wa Ruvuma ni rafiki kwa kilimo cha vitunguu?

pagalaboy

New Member
Joined
Mar 23, 2024
Posts
3
Reaction score
0
Jamaani mashamba yanayoweza kuwa rafiki kwa kilimo Cha vitunguu mkoa wa ruvuma yapo wilaya gani?
 
Hata Namtumbo watu wanalima ingawa kwa uchache sana. Ila vinastawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…