Wilaya gani nzuri Tanzania kwa kuishi na kufanya biashara?

kevin strootman

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
1,114
Reaction score
1,872
Ukiachana na Dar es Salaam, natamani kujua wilaya nzuri Kwa ajili ya kuishi, ambayo inaweza ikawa pia nzuri Kwa kufanya biashara, Hali ya hewa iwe nzuri, kununua ardhi isiwe ghali kama dar, maji, umeme viwe uhakika.

Karibuni, bila kusahau internet iwe 4G uhakika mitandao yote
 
Kisarawe hiihii ya jafo?? Mbona watu wanaikataa sana wanasema kukame mno
Fuatilia vizuri kijiji nilichokitaja hapo juu!
Ardhi saaafi yenye kichanga cheupe!
Maji yapo ya kutosha!
Ardhi bei cheeee!
Umeme umefika!
Near to Dar
 
Ukiachana na dar es salaam, natamani kujua wilaya nzuri Kwa ajili ya kuishi, ambayo inaweza ikawa pia nzuri Kwa kufanya biashara, Hali ya hewa iwe nzuri, kununua ardhi isiwe ghali kama dar, maji, umeme viwe uhakika.

Karibuni, bila kusahau internet iwe 4G uhakika mitandao yote
Ilala

Yaan sitaki kelele nyingi wewe nenda Ilala sehemu yoyote fungua biashara,

Nb: usiachane na Dar
 
Ukiachana na dar es salaam, natamani kujua wilaya nzuri Kwa ajili ya kuishi, ambayo inaweza ikawa pia nzuri Kwa kufanya biashara, Hali ya hewa iwe nzuri, kununua ardhi isiwe ghali kama dar, maji, umeme viwe uhakika.

Karibuni, bila kusahau internet iwe 4G uhakika mitandao yote
mkurangaDC

R.I.P Laogwanan comrade ENL
 
Ukiachana na Dar es Salaam, natamani kujua wilaya nzuri Kwa ajili ya kuishi, ambayo inaweza ikawa pia nzuri Kwa kufanya biashara, Hali ya hewa iwe nzuri, kununua ardhi isiwe ghali kama dar, maji, umeme viwe uhakika.

Karibuni, bila kusahau internet iwe 4G uhakika mitandao yote
KAHAMA.
 
Nitapafuatilia
Kuna Ardhi Ya Kutosha
20240120_155935.jpg
 
Back
Top Bottom