Wilaya gani nzuri Tanzania kwa kuishi na kufanya biashara?

kevin strootman

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
1,114
Reaction score
1,872
Ukiachana na Dar es Salaam, natamani kujua wilaya nzuri Kwa ajili ya kuishi, ambayo inaweza ikawa pia nzuri Kwa kufanya biashara, Hali ya hewa iwe nzuri, kununua ardhi isiwe ghali kama dar, maji, umeme viwe uhakika.

Karibuni, bila kusahau internet iwe 4G uhakika mitandao yote
 
Nenda kisarawe kijiji cha msimbu!
Hautajutia ndugu yangu
 
Kisarawe hiihii ya jafo?? Mbona watu wanaikataa sana wanasema kukame mno
Fuatilia vizuri kijiji nilichokitaja hapo juu!
Ardhi saaafi yenye kichanga cheupe!
Maji yapo ya kutosha!
Ardhi bei cheeee!
Umeme umefika!
Near to Dar
 
Ilala

Yaan sitaki kelele nyingi wewe nenda Ilala sehemu yoyote fungua biashara,

Nb: usiachane na Dar
 
mkurangaDC

R.I.P Laogwanan comrade ENL
 
KAHAMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…