Wilaya gani nzuri Tanzania kwa kuishi na kufanya biashara?

Nenda Korogwe utanishukuru badae.
 
Morogoro ni kati ya mikoa rafiki sana. Kuanzia hali ya hewa, maisha simple na upatikanaji wa vyakula fresh kutokea mashambani.

Niliipenda sana Morogoro na nilipanga kuishi huko uzeeni ila nilishabadili mawazo.
Japo naweza kumshauri mtu kufanya hivyo.
 
Kwa vigezo ulivyoviweka hapo nakushauri nenda wilaya ya Nachingwea mkoa wa Lindi.
 
Wilaya zote za Mkoa wa Mbeya,Ruvuma, Morogoro,Pwani,Katavi,Rukwa na Lindi nk

Kiujumla Tanzania yote ni tamu
 
Kwanin umebadili, umepata wapi kwingne pazuri zaidi tuambiane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…