Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,768
- 2,361
Maisha yenyewe yanamnyongaTarehe 14/10 Chato itatangazwa kuwa mkoa na rais Samia ili ujinyonge kabisa.
Wewe mnyakyusa achana na chato, jikite na maendeleo ya kile kijiji kikubwa chenye vumbi aka mbeya yenu...Pamoja na malamiko mengi mitandaoni, ya miradi isiyo na tija kwa Taifa huko Chato, ukweli umeanza kudhihiri.
Wilaya ya Chato sasa ni rasmi, ni moja ya wilaya zinazoongoza kwa matumizi mabaya ya fedha za umma.
CAG ameamrishwa na Waziri wa Fedha Dk Nchemba kufanya uchunguzi wa kina kwa Halmashsuri za Eilaya ya zKondoa,Mbogwe, Biharamulo na Chato.
Hii ni baada ya ukaguzi wa PPRA na Ripoti ya Tathmini Utendaji ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma ya mwaka 2020/2021, hata mwendazake akiwa madarakani nusu ya kipindi.
Haya Mkoa wa Chato unanukis!
Haa HaaNchema nchemba haya majina ynakuwaga na nuku..si.
Kipindi chote cha jpm
Walikuwa hawauoni wizi
Si hivyo mkuu tunataka wilaya nyingine ziige mfano huo ili ziwe mikoa!Tarehe 14/10 Chato itatangazwa kuwa mkoa na rais Samia ili ujinyonge kabisa.
Unfortunately huwa nawauliza wazee wa legacy kwamba ni lini katika miaka yote 6 ya Mwendazake alipunguza ufisadi?Pamoja na malamiko mengi mitandaoni, ya miradi isiyo na tija kwa Taifa huko Chato, ukweli umeanza kudhihiri.
Wilaya ya Chato sasa ni rasmi, ni moja ya wilaya zinazoongoza kwa matumizi mabaya ya fedha za umma.
CAG ameamrishwa na Waziri wa Fedha Dk Nchemba kufanya uchunguzi wa kina kwa Halmashsuri za Eilaya ya zKondoa,Mbogwe, Biharamulo na Chato.
Hii ni baada ya ukaguzi wa PPRA na Ripoti ya Tathmini Utendaji ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma ya mwaka 2020/2021, hata mwendazake akiwa madarakani nusu ya kipindi.
Haya Mkoa wa Chato unanukia!
Legacy ya MagufuliUnfortunately huwa nawauliza wazee wa legacy kwamba ni lini katika miaka yote 6 ya Mwendazake alipunguza ufisadi?
Kila mwaka CAG alikuwa anaibua uozo,madudu na matumizi mabaya ya fedha za umma na Ndugai alikuwa mtetezi mkuu wa serikali..
Kuanzia maposho kule wizara ya utalii,Atcl hadi wizi kwenye Halmashauri..
Hakuna kipindi watu walipiga kama awamu ya 5 maana huwezi ibua wizi wala kumnyooshea kidole mteule wa Rais ,ilikuwa Kila mtu ni usalama wa Magu ππ