Wilaya ya Ilemela inakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji kwa takribani wiki mbili sasa. Maeneo yaliyoathirika ni pamoja na Buswelu, Meko, National, Nyasaka, Nyamadoke, Bujingwa na Buzuruga.
Cha kushangaza ni kwamba Wilaya ya Ilemela imezungukwa na Ziwa Victoria, lakini wananchi wamekuwa wakikabiliwa na ukosefu wa huduma ya maji kwa muda wote huo.
Wahusika, tafadhali angalieni changamoto hii na kuchukua hatua ili wananchi wapate huduma ya maji.