Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,018
- 2,366
Hii Sio haki na mnachofanya ni kuchonganisha Wafanyakazi na serikali yao.
Haiwezekani tumeomba wote Likizo halafu mwingine analipwa mwingine halipwi kwasababu tu amekosa ndugu hapo halmashauri.
Acheni upendeleo kulipwa likizo ni haki ya kila mfanyakazi.