Wilaya ya Mafia ina watu wachoyo na wabinafsi kuliko maeneo mengine

Sasa tuulizane kati ya Wanyantuzu na Wanyagatwa wa mafia, wapi wenye roho mbaya?
Huko kwenu hata kiswahili ni shida
Uchawi ni kama mchanga wa bahari
wengi mnaisikia Gamboshi ila kuna Itilima kuna wachawi kuliko nyota za angani.

Wapi kwenu tupachambue ambapo hakuna udhaifu?
 
Ukienda na hizo chuki ulizojaza ni lazima utapata taabu mahali popote. Vingi ulivyoandika ni uongo mtupu. Safisha roho utaona watu wanakupokea popote. Usiende mahali ukajiona wewe mfanyakazi serikalini ni daraja la juu.
. Hapana mimi sina Roho mbaya, huu ni uhalisia uliopo huku mafia, watumishi wakiajiriwa mafia hawafikishi miaka hata mitatu wanatimua kuludi bara kwa sababu ya roho mbaya za huku.

. Kama na wewe ni mzawa wa huku jaribu kubadilika mkuu,
 
. Bado sijafanyia utafiti wa wanyantuzu,

. jamii ya watu wanaotamani ufukuzwe kazi, upewe kesi za uongo, na ukilala njaa ndo wa Nafurahi zaidi na mambo haya wanafanya wazi wazi, watu wa Aina hii hawafai.

. Jamii yangu haina vipengele hivyo na ndo maana nililazimika kufanya utafiti mdogo wa watu wa mafia.
 
Ukerewe elimu duni?
Kuna wasomi wengi toka mkoloni.
 
jamii gani hiyo ya kwako?
 
Binafsi hakuna sehemu yoyote Tanzania hii ikanishinda kuishi na kuona tabu. Zipo sehemu nilipita pita nikasikia kama hivi lakini nilivyoenda aaah zile zilikuwa porojo tu, kipindi kile ndo nilijifunza kusoma sana vitabu, nikagundua "As a Man Thinketh" kama alivyoandika Mr.Allen
 
Karibu mafia mkuu.. 😅 😅. Uje utalii kidogo na Sasa bahari ipo swali kabisa au unaweza pitia usafiri wa angani kwa shilingi 165000 tu.
 
Urithi walio achiwa na waarabu..hapo ndio muelewe muarabu ni mtu wa aina gani.
Shinyanga Kuna Waarabu kule ushetu matajiri wenu wote Waarabu, kishapu hivyo hivyo
Tabora
Luguru
Singida
Mwanza wamejaa

Mbeya kule Tukuyu wanajiita Mwabwanga
Mbarali wengi sana Waburushi

Vipi na Hawa na hiyo mentality yako?
 
Alafu nani kakudanganya kuwezeka na makuti ni umasikini. Kuspend pesa sana ndio umasikini zaidi nikuzungusha au kununulia madini na ardhi. Hizo tabia nyingine ndio mbaya kama ubaguzi sio Jambo zuri
 
Alafu nani kakudanganya kuwezeka na makuti ni umasikini. Kuspend pesa sana ndio umasikini zaidi nikuzungusha au kununulia madini na ardhi. Hizo tabia nyingine ndio mbaya kama ubaguzi sio Jambo zuri
Mzungu anatoka Ulaya, akija Afrika analala kwenye nyumba za style hizo.
It's okay ila Mimi mnyangalio au Mnyagatwa na nduguze Wandengereko wakilala huko ni Umasikini?

Hizi mentality hizi
 
Mzungu anatoka Ulaya, akija Afrika analala kwenye nyumba za style hizo.
It's okay ila Mimi mnyangalio au Mnyagatwa na nduguze Wandengereko wakilala huko ni Umasikini?

Hizi mentality hizi
Wazungu walicheza sana pale walipotuaminisha kua vya kwetu ni duni. Sasa unanunua bati unaweka sealboard au gypsum board, bado unaweka waya wakuia radi kote huko unatumia pesa bado Kuna ishu yakupiga rangi bati ni spending tu. Vyote tuna import tu lini tutategemea vya kwetu (law ya uchumi inaanza na production usisahau ili). Sasa hivi ukiwa mjini gharama yakuweka makuti Yale manene bei Iko juu sana zaidi ya hizo bati wanaita msauzi. Nyimwa vyote usinyimwe akili
 
Uko sahihi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…