Sangizi
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 2,519
- 5,504
Mkuu nimecheka sana 😃Kuna wengine wapo weupe tu huku, hivyo watahija security zaidi(pesa Utapiga za kutosha) , na wanamsemo wao " ukiamua kumroga mtu wa bara hakikisha anakufa, akivuka maji akiwa mzima akifika kwao atatumaliza. 😁😁