Wilaya ya Mafia ina watu wachoyo na wabinafsi kuliko maeneo mengine

Wilaya ya Mafia ina watu wachoyo na wabinafsi kuliko maeneo mengine

Jamii yoyote inayojali "mimi" badala ya "sisi" hujenga mazingira ya mgawanyiko, kutoaminiana, na kurudisha nyuma juhudi za pamoja hasa kwa wale wanaohamia maeneo mageni ili kuazisha maisha mapya.

. Ni wazi kuwa kila jamii ina tabia na hulka zake. Lakini kwa muda niliokaa hapa Mafia, nimegundua jambo moja la kusikitisha – watu wengi hapa wamejengeka katika mfumo wa uchoyo na ubinafsi wa hali ya juu.

HIZI NI TABIA ZA WATU WA WILAYA YA MAFIA
1. Ushirikiana wa hali ya juu, na ukipigwa kitu kizito huku yakupasa uludi bara moja kwa moja ili kupangua mashambulizi.​
​
2. Ni wilaya yenye samaki wengi sana lakini kama siyo mzawa wa Mafia utawasikia kwenye taarifa ya habari maana ni wachoya haswa, mafia ni wilaya ambayo unaweza kuwa na million mfukoni lakini ukalala na njaa.​
​
3. Wageni wote kutoka bara huitwa MBWA, hii ilihubiriwa na misikiti fulani hapa Mafia kipindi cha nyuma kidogo.​
​
4. Kama ni mtumishi wa serikalii, moja kwa moja unawekewa uadui na wenyeji, maana hawataki kabisa watu wageni kuja kufanya kazi Mafia​
​
5. Ni watu wenye tabia ya kuwabambikizia kesi watu wageni ( kesi ya kwanza (i) kufanya ngono na wanafunzi, (ii) kutembea na mke wa mtu, (iii) wakishindwa pande zote tajwa hapo juu, wanahamia kwenye tabia namba moja.​
​
6. Kama ni mgeni sahau kupata ardhi ya kujenga, vinginevyo wawe wamekupenda kutoka rohoni mwao na umejadiliwa kwa miaka kadhaa midomoni mwao kuwa unafaa kuuziwa ardhi au laa! .​
​
7. Ukifika mara ya kwanza, lazima utajulikana kuwa wewe ni mgeni maana idadi ya watu ni chache sana, hivyo hata Ukifanya kosa linasambaa mpaka kwa viongozi wa juu.​
​
8. Milango ya nyumba haifungwi na kufuri maana wanaamini kila mtu aliepo mafia ni mchawi, hivyo usalama ni asilimia 100000%​
​
9. Maduka hufunguliwa kuazia mida ya Saa nne asubuhi kwa sababu ya Uvivu walionao,​
​
10. Ukiachana na uvuaji wa samaki na dagaa, Kilimo chao ni mchele kiasi, njugu na nyanya kidogo, vitu vingine vyote vinatoka bara.​
​
11. Kuna baadhi ya vijiji wanaamini duniani kuna dini moja tu ambayo ni Uislam.​
​
12. Ni wilaya ambayo ina kilometers chache za lami sidhani kama hata 200 zinafika, na usafiri mkubwa kwa wale ambao hawana usafiri wao ni boda boda. Maana magari ya abiria sidhani kama yanafika 8.​
​
13. Vijana na wazee wa mafia wanapata hela nyingi sana kwenye uuzaji wa samaki lakini nyumba zao zimeezekwa na makuti, huku hela zao zikiwa zimabaki tu mifukoni bila matumizi yoyote yale.​
​
14. Mafia ni wilaya yenye ukosefu wa starehe za kidunia ( wadada kutoka bara Sasa wamegundua chimbo, maana naona wanakuja kwa kasi sana kutoa huduma ya utelezi wilayani mafia.​
​
15. Mafia ni wilaya ambayo iliwahi kumiliki mbunge mjinga zaidi "Ndugu KIMBAU" alikaa kwenye ubunge mda mrefu bila hata kujenga nyumba ya kuishi, Rais mustaafu KIKWETE Alivyoenda mafia aliomba aende kumtembelea mbunge huyo nyumbani kwake, mbunge kwa vile alikuwa hana nyumba aliamua kumpekelea Rais msikitini.​
​
Hii ndo wilaya ya Mafia na viunga vyake.​
Wanaofuata Mila za kiarabu
 
Halafu vinajiita visukuma ila vinaoana wao kwa wao, wamedumisha tamaduni zao, hawachangamani.

Wana connection na watu wenye asili Yao.

Hawa Wasumbwa, Wanyantuzu, Wanyeng'weli, Wanyanzerege, Wadakama, Wazinza, Wanasa

Wote ni vibaraka yaani watwana kwa hao jamaa.

Yet, mkija Mikoa ya pwani, mnafikiri tamaduni zenu ni Bora zaidi nau tamaduni wenu ni sahihi.

Kitu hiki sio sawa.
Ukienda bariadi kila mwezi wa 5, wanacheza mbina Ili kuonyesha uchawi waziwazi.

Huchaguliwa mchawi mkuu
Mganga mkuu

Hawa watu husherehekea uchawi wazi wazi na sio jambo la kuficha.
Mkuu, hivi hii mbina huwa haiwaathiri wasio wachawi wanaokuwa wanawatazama?
 
Nataka niende huko siku moja pamoja na uchoyo wao, vipi kuna hotel nzuri za kiwango cha uchumi himilivu (sio zile za kitalii)....naingia siku moja nashangaa shangaa keshokutwa yake nasepa
Hazipo mkuu, huku zipo lodge za kitalii tu ambazo zimejengwa pembezoni, na lodge za pale mjini kilindoni-kigamboni,
 
. Hawa wa burushi ni wakiambo kidogo tangu wahamie, sijajua walitokea wapi mkuu,

. Hizo totoz za kwenda zinatoka huko dar mkuu, napishana nao sana kwenye usafiri humo,


. Kwenye uwekezaji wa ufwekeni ipo maana wazungu wanakuja sana kutalii kwenye miamba ya Mafia, hasa maeneo ya chole, jibondo na maeneo mengine. Hata huu uwanja wa ndege ni msaada tu kutoka kwa watu wa marekani..
Wanatokea Pakistan, eneo linaitwa Balochistan. Walifikaje Bongo sijui vizuri ila kuna wakati enzi za Mkapa nadhani serikali iliamua kufuatilia kuweka sawa ishu ya uraia wao, ni kama waliingia nchini illegally wakazaliana kwa kasi kwenye maeneo mbalimbali walikotia kambi.
 
Vipi maisha maeneo ya ufukweni unaweza kutoka out ukaogelea na bikini? Na je beach zao zikoje, white sand na blue ocean au ni mwendo wa kelele na hekaheka za wavuvi?
 
Hiyo sio haki serikali ilicho fanya, kwasbb ikawanyima elimu bora ili iweze kuwatawala, jamii iasio kua na elimu ni lazima iwe na fikra za uchawi.
Ndo ipo hivyo mkuu, mtu ukinyimwa elimu, unapoteza dira kabisa hasa kwenye maendeleo. ( ukiwaangalia kwa jicho pevu unaona kabisa,hawa watu hawataki uwepo wa shule, pia hawataki uwepo wa hospital) 🙂🙂
 
Back
Top Bottom