Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,069
- 15,029
Nilifika 2012 sikukaa hata siku 1.
Huko si ndio kuna mkuu wa wilaya alipewa kesi ya kubaka?
Huko si ndio kuna mkuu wa wilaya alipewa kesi ya kubaka?
Duh, that's too bad. Mtu aingie jela 30 kizembe kabisa hiyo sehemu siyo kabisaMkuu huku, hata aje Muislamu kutoka bara, anatengwa , yani Kiujmla hawataki watu wa kutoka bara, na ukiwa dini tofauti na Uislam ndo kabisa kukubalika ni ngumu.
Kuna jamaa hapa ni wa bara, dini ni Muislamu, mpaka Sasa amepewa case ya kubambikwa ya kumbaka mwanafunzi,
Mda wote wanaamini Uislam ndo dini ya haki, mda wote wanamini dini ni bora zaidi kuliko elimu ( elimu ikikosekana ndo masuala ya unafiki, udini, ujinga na umaskini kupamba moto..)Hizi ni tabia za sehemu za pwani kote
Tanzania,sehemu yenye uislamu mwingi inakuwa na sifa za m.umaskini,ujinga,ubinafsi,na udini
Mawazo finyu tu, maana kuna kipindi alipita kimbunga hidaya, akafumua vinyumba vya makuti vyote, hao hao wakaaza kulaumu serikali kuwa haiwasaidii sehemu ya kuishi.inawezekana waliaminishwa watazama muda wowote ule ,wasijenge nyumba imara
Kumbe panafikika mkuuPale mjini ni 15000-20000/- Kwa mlalo mmoja mkuu ,
Nimeishi Tanga, shinyanga, dodoma, Tabora, Dsm, Iringa, Mbeya, marogoro, mwanza, lakini hii tabia sijawahi kutana nayo ya watu wa mafiaUnawaone tu. Kama ungekuwa umewahi kutembelea nchi nzima ya mbeba maono, ungeona anavyobeba maangamizi na si maono kama anavyodanganywa na machawa wake.
Nenda Kigoma na Kilimanjaro, Kagera, na Sumbawanga uoneNimeishi Tanga, dodoma, Tabora, Dsm, Iringa, Mbeya, marogoro, mwanza, lakini hii tabia sijawahi kutana nayo ya watu wa mafia
Duuh noma sanaNilifika 2012 sikukaa hata siku 1.
Huko si ndio kuna mkuu wa wilaya alipewa kesi ya kubaka?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣... Wana roho ya korosho balaa, ila mtu ukimusimulia anaona kama unaongopa.Kuna binti nimesoma nae chuo alikuwa anatokea huko, jina lake mwajuma kifupi kibaya km ugoko uliopauka, kilikuwa kinajisikia, kichoyo kina kiburi na roho ya kunguni balaa kitaamka usiku kujisomea na wenzie kinawazuia kuniamsha maajabu kwenye mitihani walikuwa hawanifati hata kwa karibu,
Kilikuwa na fangasi ukeni balaa alikuwa anajimwagia poda kikopo kinaisha ndani ya siku 3 tu,
Dah Inahitaji roho ngumu sana kumsubject binadamu mwenzako kwenye hukumu kama hiyo huku ukijua kabisa ni uongo.Miaka imeongezwa, Sasa hivi jela ni 35 mkuu,
Mengi ni uongo na chuki iliokujaa,ulitakiwa kusema serikali imeitupa Mafia sio huo unaafiki wako,Mafia wamejaa wasukuma ni wafanyakazi wa kulima mashamba na kuchimbua visiki,Nazi asilimia 90 zinatoka Mafia,Mahotele yapo mengi tu kama ungepanda ndege ungeona namba ya wazungu wanaotembelea Mafia,kuna wazungu wengi wana majumba Mafia,na wanaishi,sehemu gani ulitaka kununua kiwanja wakakunyima? Watu wake waaminifu hawauwani kama ilivo mikowani Mahindi tu mtu anamuuwa Mkewe au Zeluzelu kuuliwa Pwani imestaarabika ukiwa mshenzi mshenzi lazima uone tofauti, itaendelea kuwa hivo kaa kwenu. Nenda Japan uone namna wanavoishi,huwezi ongea na simu kwenye Bus au Train,huwezi kura ukiwa unatembea kama ilovo nchi za western, huwezi mpa bahashishi mhudumu Restaurant kama western. So kila watu na mazingira yao,mbona wamafia hawaji kujazana huko kwenu?Jamii yoyote inayojali "mimi" badala ya "sisi" hujenga mazingira ya mgawanyiko, kutoaminiana, na kurudisha nyuma juhudi za pamoja hasa kwa wale wanaohamia maeneo mageni ili kuazisha maisha mapya.
. Ni wazi kuwa kila jamii ina tabia na hulka zake. Lakini kwa muda niliokaa hapa Mafia, nimegundua jambo moja la kusikitisha – watu wengi hapa wamejengeka katika mfumo wa uchoyo na ubinafsi wa hali ya juu.
HIZI NI TABIA ZA WATU WA WILAYA YA MAFIA
1. Ushirikiana wa hali ya juu, na ukipigwa kitu kizito huku yakupasa uludi bara moja kwa moja ili kupangua mashambulizi.2. Ni wilaya yenye samaki wengi sana lakini kama siyo mzawa wa Mafia utawasikia kwenye taarifa ya habari maana ni wachoya haswa, mafia ni wilaya ambayo unaweza kuwa na million mfukoni lakini ukalala na njaa.3. Wageni wote kutoka bara huitwa MBWA, hii ilihubiriwa na misikiti fulani hapa Mafia kipindi cha nyuma kidogo.4. Kama ni mtumishi wa serikalii, moja kwa moja unawekewa uadui na wenyeji, maana hawataki kabisa watu wageni kuja kufanya kazi Mafia5. Ni watu wenye tabia ya kuwabambikizia kesi watu wageni ( kesi ya kwanza (i) kufanya ngono na wanafunzi, (ii) kutembea na mke wa mtu, (iii) wakishindwa pande zote tajwa hapo juu, wanahamia kwenye tabia namba moja.6. Kama ni mgeni sahau kupata ardhi ya kujenga, vinginevyo wawe wamekupenda kutoka rohoni mwao na umejadiliwa kwa miaka kadhaa midomoni mwao kuwa unafaa kuuziwa ardhi au laa! .7. Ukifika mara ya kwanza, lazima utajulikana kuwa wewe ni mgeni maana idadi ya watu ni chache sana, hivyo hata Ukifanya kosa linasambaa mpaka kwa viongozi wa juu.8. Milango ya nyumba haifungwi na kufuri maana wanaamini kila mtu aliepo mafia ni mchawi, hivyo usalama ni asilimia 100000%9. Maduka hufunguliwa kuazia mida ya Saa nne asubuhi kwa sababu ya Uvivu walionao,10. Ukiachana na uvuaji wa samaki na dagaa, Kilimo chao ni mchele kiasi, njugu na nyanya kidogo, vitu vingine vyote vinatoka bara.11. Kuna baadhi ya vijiji wanaamini duniani kuna dini moja tu ambayo ni Uislam.12. Ni wilaya ambayo ina kilometers chache za lami sidhani kama hata 200 zinafika, na usafiri mkubwa kwa wale ambao hawana usafiri wao ni boda boda. Maana magari ya abiria sidhani kama yanafika 8.13. Vijana na wazee wa mafia wanapata hela nyingi sana kwenye uuzaji wa samaki lakini nyumba zao zimeezekwa na makuti, huku hela zao zikiwa zimabaki tu mifukoni bila matumizi yoyote yale.14. Mafia ni wilaya yenye ukosefu wa starehe za kidunia ( wadada kutoka bara Sasa wamegundua chimbo, maana naona wanakuja kwa kasi sana kutoa huduma ya utelezi wilayani mafia.15. Mafia ni wilaya ambayo iliwahi kumiliki mbunge mjinga zaidi "Ndugu KIMBAU" alikaa kwenye ubunge mda mrefu bila hata kujenga nyumba ya kuishi, Rais mustaafu KIKWETE Alivyoenda mafia aliomba aende kumtembelea mbunge huyo nyumbani kwake, mbunge kwa vile alikuwa hana nyumba aliamua kumpeleka Rais msikitini.Hii ndo wilaya ya Mafia na viunga vyake.
Kwa hiyo wale mabudha?Wewe una kichaa kweli kishapu,ushetu kuna Uislam mwingi? We umechanganyikiwa sio bure,kuliko na Uislam mwingi ni pwani huko na kumejaa umaskini ujinga na udini
basi wahamishwe isiwe wilaya ,kwanza wawafute wilaya inakuaje na watu 6000Mawazo finyu tu, maana kuna kipindi alipita kimbunga hidaya, akafumua vinyumba vya makuti vyote, hao hao wakaaza kulaumu serikali kuwa haiwasaidii sehemu ya kuishi.