Wilaya ya Mafia ina watu wachoyo na wabinafsi kuliko maeneo mengine

Wilaya ya Mafia ina watu wachoyo na wabinafsi kuliko maeneo mengine

Mengi ni uongo na chuki iliokujaa,ulitakiwa kusema serikali imeitupa Mafia sio huo unaafiki wako,Mafia wamejaa wasukuma ni wafanyakazi wa kulima mashamba na kuchimbua visiki,Nazi asilimia 90 zinatoka Mafia,Mahotele yapo mengi tu kama ungepanda ndege ungeona namba ya wazungu wanaotembelea Mafia,kuna wazungu wengi wana majumba Mafia,na wanaishi,sehemu gani ulitaka kununua kiwanja wakakunyima? Watu wake waaminifu hawauwani kama ilivo mikowani Mahindi tu mtu anamuuwa Mkewe au Zeluzelu kuuliwa Pwani imestaarabika ukiwa mshenzi mshenzi lazima uone tofauti, itaendelea kuwa hivo kaa kwenu. Nenda Japan uone namna wanavoishi,huwezi ongea na simu kwenye Bus au Train,huwezi kura ukiwa unatembea kama ilovo nchi za western, huwezi mpa bahashishi mhudumu Restaurant kama western. So kila watu na mazingira yao,mbona wamafia hawaji kujazana huko kwenu?
Nimekuamini ndugu mjumbe:

Kwa Tanzania yetu ukienda mahali pageni na ukawa na heshima na adabu utaishi vizuri tu:

Maeneo ya Waislamu yanataka kuishi kwa staha na utayafurahia sana tu:

Niliwahi enda Pangani kikazi, wengi walipasema vibaya:
Niliishi kama mnyonge fulani hivi na nilifurahia sana maisha:

Ila ukienda ki-bara bara huwezi kula mema ya nchi na mwisho wake utapakimbia:.

Nina uhakika Mafya hakuna anaye weza kufuga Nguruwe:
Nitaenda Mafya kuangalia soko la nyama ya Nguruwe:
Kilo kwa Tsh. 18500 sio jambo la kulipuuzia:
Ni fulsa adimu sana:
 
Aiseh...?
Kumbe Mafya ni Nchi Nzuri?
Vipi Makanisa yapo?
Wakristo wana abudu kwa uhuru ?

Hivi ni Kweli Kitimoto inauzwa 18,500/= kwa kilo?
Maana mimi Kitimota ndio chakula changu pendwa:
Cathoriki na KKKT labda kama hivi karibuni makanisa ya pentekoste yameanzishwa
 
Sehemu ikiwa ndogo na imejitenga kama Mafya, huwa wenyeji hawataki wageni, na hasa kama wana dini moja:
Wanaona kuwa kufika kwa wageni kutaharibu ujirani na tamaduni zao wali zizoea:
Ukisha waelewa hivyo utaishi nao vizuri tu:
Kama ni mtu wa Kinywaji inabidi ujifanye kama hunywi, na ukipata kitu kama Safari Lager basi ibebe ukanywee nyumbani kama sio chumbani:
Wanataka uishi kama wanavyo taka wao tu:
Na usitishe kula kitimoto hadharani
 
Kuna binti nimesoma nae chuo alikuwa anatokea huko, jina lake mwajuma kifupi kibaya km ugoko uliopauka, kilikuwa kinajisikia, kichoyo kina kiburi na roho ya kunguni balaa kitaamka usiku kujisomea na wenzie kinawazuia kuniamsha maajabu kwenye mitihani walikuwa hawanifati hata kwa karibu,

Kilikuwa na fangasi ukeni balaa alikuwa anajimwagia poda kikopo kinaisha ndani ya siku 3 tu,
Daaaaa uyu ukilala nae utajikuna mpaka utoe damu nyeusi 😅😅😅
 
Mimi nimekaa mafia mwanzoni wwa 2000 ayubu kimbau alikuwa na nyumba mzuri pwani ya mafia karibu na bandarini
JF hii kaka, humu kuna vitu tunalishana kama hujatembea unaweza kujikuta unabagua watu kabisa. Kuna mdau hapo naona ameisema Kilwa, lakini nimeishi huko na naona wageni tu kibao wanafanya mambo yao......tena wengine wanagoma kurudi kwao kabisa!

Mjomba wangu aliwahi kuhama mji flani morogoro sababu ya chuki na fitina za wenyeji......haya ngoja tunyamaze!
 
Jamii yoyote inayojali "mimi" badala ya "sisi" hujenga mazingira ya mgawanyiko, kutoaminiana, na kurudisha nyuma juhudi za pamoja hasa kwa wale wanaohamia maeneo mageni ili kuazisha maisha mapya.

. Ni wazi kuwa kila jamii ina tabia na hulka zake. Lakini kwa muda niliokaa hapa Mafia, nimegundua jambo moja la kusikitisha – watu wengi hapa wamejengeka katika mfumo wa uchoyo na ubinafsi wa hali ya juu.

HIZI NI TABIA ZA WATU WA WILAYA YA MAFIA
1. Ushirikiana wa hali ya juu, na ukipigwa kitu kizito huku yakupasa uludi bara moja kwa moja ili kupangua mashambulizi.​
​
2. Ni wilaya yenye samaki wengi sana lakini kama siyo mzawa wa Mafia utawasikia kwenye taarifa ya habari maana ni wachoya haswa, mafia ni wilaya ambayo unaweza kuwa na million mfukoni lakini ukalala na njaa.​
​
3. Wageni wote kutoka bara huitwa MBWA, hii ilihubiriwa na misikiti fulani hapa Mafia kipindi cha nyuma kidogo.​
​
4. Kama ni mtumishi wa serikalii, moja kwa moja unawekewa uadui na wenyeji, maana hawataki kabisa watu wageni kuja kufanya kazi Mafia​
​
5. Ni watu wenye tabia ya kuwabambikizia kesi watu wageni ( kesi ya kwanza (i) kufanya ngono na wanafunzi, (ii) kutembea na mke wa mtu, (iii) wakishindwa pande zote tajwa hapo juu, wanahamia kwenye tabia namba moja.​
​
6. Kama ni mgeni sahau kupata ardhi ya kujenga, vinginevyo wawe wamekupenda kutoka rohoni mwao na umejadiliwa kwa miaka kadhaa midomoni mwao kuwa unafaa kuuziwa ardhi au laa! .​
​
7. Ukifika mara ya kwanza, lazima utajulikana kuwa wewe ni mgeni maana idadi ya watu ni chache sana, hivyo hata Ukifanya kosa linasambaa mpaka kwa viongozi wa juu.​
​
8. Milango ya nyumba haifungwi na kufuri maana wanaamini kila mtu aliepo mafia ni mchawi, hivyo usalama ni asilimia 100000%​
​
9. Maduka hufunguliwa kuazia mida ya Saa nne asubuhi kwa sababu ya Uvivu walionao,​
​
10. Ukiachana na uvuaji wa samaki na dagaa, Kilimo chao ni mchele kiasi, njugu na nyanya kidogo, vitu vingine vyote vinatoka bara.​
​
11. Kuna baadhi ya vijiji wanaamini duniani kuna dini moja tu ambayo ni Uislam.​
​
12. Ni wilaya ambayo ina kilometers chache za lami sidhani kama hata 200 zinafika, na usafiri mkubwa kwa wale ambao hawana usafiri wao ni boda boda. Maana magari ya abiria sidhani kama yanafika 8.​
​
13. Vijana na wazee wa mafia wanapata hela nyingi sana kwenye uuzaji wa samaki lakini nyumba zao zimeezekwa na makuti, huku hela zao zikiwa zimabaki tu mifukoni bila matumizi yoyote yale.​
​
14. Mafia ni wilaya yenye ukosefu wa starehe za kidunia ( wadada kutoka bara Sasa wamegundua chimbo, maana naona wanakuja kwa kasi sana kutoa huduma ya utelezi wilayani mafia.​
​
15. Mafia ni wilaya ambayo iliwahi kumiliki mbunge mjinga zaidi "Ndugu KIMBAU" alikaa kwenye ubunge mda mrefu bila hata kujenga nyumba ya kuishi, Rais mustaafu KIKWETE Alivyoenda mafia aliomba aende kumtembelea mbunge huyo nyumbani kwake, mbunge kwa vile alikuwa hana nyumba aliamua kumpeleka Rais msikitini.​
​
Hii ndo wilaya ya Mafia na viunga vyake.​
Bara kwa maana ya Tanzania bara ama ?!!

Andiko limejaa malalamiko na majungu dhidi ya hao watanzania wenzetu....

Ni sehemu gani duniani hamna baadhi ya hayo uliyoandika ?ha ha ha ha

Chumvi nyingi mno !
 
Yeah, anaweza mtu kukuletea story kuwa fulani na fulani wanakusema, kumbe anakuchora tu aone una react vipi, baada ya hapo ataludisha taarifa kwenye Kijiwe ulichozungumza.
Huko nimekaa kilindoni...nmekaa juani, nmekaa chole,nimekaa kambini sasa hapo jibondooo
Kuna wakati nliwekeza huko kwenye uvuvi wa jongooo bahari
Hadi kuwa na boti zangu 2 za faiber...huko nlikuja kula za uso +kesi juu
Watu huko nawajua in/out
Kama wale wakojani nuksi kweli...

Nishawahi kuondokea mafia kwenda moheli comoro

Ova
 
Back
Top Bottom