Wilaya ya Mafia ina watu wachoyo na wabinafsi kuliko maeneo mengine

Wilaya ya Mafia ina watu wachoyo na wabinafsi kuliko maeneo mengine

Bora ya huko, hata huku wanawake hawafanyi kazi ya aina yoyote zaidi ya kukaa siku zote na masaa yote.

Pia wanapenda sana umbea kuliko kitu kingine , wanaume wahuko nao wako busy sana na mambo mengine maana hawafuatilii hata mienendo ya wanawake zao.

Nimewahi kwenda wilaya kyerwa inayopatikana mkoa kagera ,yaani ni Wilaya iliyonistaajabisha sana ,asilimia 90% ya wake za watu ukimuomba papuchi hakatai , na yupo tayari muda huo huo.

Kwa siku unaweza tembezea wake za watu hata 20 , nisehemu ambayo niliishi kwa kumuomba sana MUNGU anisaidie nitoke salama salimini maana sijapata kuona niliyoyaona huko maana si kama mikoa au wilaya nyingine nilizowahi kutembelea.

Alafu watu wa huko Wilaya Kyerwa haswa wanyambo wana viburi asilia ,ujuaji , ushirikiana , dharau zilizokithiri .

Kiukweli kuna wilaya ukienda kuishi kwake ni mateso bin mateso , nilimuomba MUNGU sana project iishe nirudi na ilivyoisha nilirejea mkoa wangu pendwa until now nafurahia kwa nilipo ,watu wake ni wakarimu sana.
. Siku moja tafuta mda ulete thread mkuu, angalau tujue moja na mbili za huko kyerwa...

. Hapo kwenye kutembeza papuchi 20 kwa siku 😅😅😅😅.
 
Wasukuma ni wafanyakazi wa Mafia huwatumia kulima Mashamba na kung'owa visiki.wengi wao wanahamia na kuamuwa kuishi. Mafia ni sehemu nzuri mno imetulia bahari safi njoo Ucheze na papa kama unajuwa kuogelea wacha porojo zako,hakuna sato wala Kambale Mafia.
. Sasa mbona ulisema wanafanya kilimo mafia???.

. Kwa sababu nilivyo ona hapa ni kwamba mtu anaweza kulima robo heka Alafu garama inaweza fika hata laki sita mpaka mpunga unakomaa
1. Moja shamba lipo mbali hivyo atakodi boda boda kwenda na kuludi,

2. Akivuna, utashangaa anapata debe mbili za kula tu.. 😁😁

3. Ataenda na boda boda, ili kufukunza ndege wasile mpunga, ( utashangaa kwa siku anatumia 7000-8000 kwa siku), piga hesabu Sasa mpaka mpunga ukauke ametumia garama kiasi gani??

4. Nipe location mkuu wapi upo, nije chapu,,,
 
Unanikumbusha 2018 nilienda Mafia kwa Njia ya Nyamisati.
Mafia pamepoa,
Hali ya hewa na mazingira mazuri lakini culture ndio ya kijinga
kuna mila na mitazamo ambayo bado imejikita sana kimwinyi, hawataki kuongeza namba mpya kabisa.
 
Hamna chumvi hapo mkuu, ukisimuliwa Huwezi kuamini ninacho sema, yani mtu anakunyima mahitaji kisa wewe tu ni mtu mgeni( na ni bora Labda unaomba lakini unanunua, roho zao zimejaa husda kwa watu wadeni

. Hii wilaya unaweza kuwa na hela mfukoni na ukala njaa. 😁😁
Mw0ng0 mwandamizi....
 
Nauli toka Kigamboni hadi Mafya ni kiasi gani ?
Nimepata hamu ya kuitembelea:
. Hiyo njia ya kigamboni siyo zuri, kwa sababu utapanda maboti tu na mvua ikiaza lazima ulowane..

. Njia zuri ni kutokea Kiwanda cha bakhresa nimesahau jina lile eneo , Alafu utapanda gari za Mbagala to Nyamisati kwa shillingi 8000/-, utafika Nyamisati baada ya hapo utapanda meli/pantoni ya MV KILINDONI kwa shilingi 16000/-.

. Kama Utachelewa pantoni utapanda fiber kwa shillingi 30000/- na kama utaamua kukodi fiber ya pekee yako basi utalipia shillingi 450, 000/- hadi 500,000/-

. Usafiri unategemea na hali ya bahari ilivyo, hivyo unaweza kusafiri usiku au mchana kulingana na kupwa na kujaa kwa maji.
(i) pantoni inatumia masaa 4-5 kuvuka maji
(ii) fiber inatumia masaa 2 - 3 kuvuka maji
(iii) boti za mbao/jahazi zilizoboreshwa masaa 6-7
 
Sio kweli Mtwara ni pwani ila ni tofauti, pia naona wazaromo ni social hata kuliko watu wa mikoani.
Hao wanaochangia in negative ways wengi ni wavaa rozari, Arusha na Kilimanjaro ni mikoa inayoongoza Kwa kuwa na watu wabinafsi ,wachoyo wanapendana Kwa misingi ya ukabila.. ukifika Arusha au Moshi usiku Kuna Asilimia 99 ya kulala nje kuliko ukifika Lindi na Mtwara.
 
. Sasa mbona ulisema wanafanya kilimo mafia???.

. Kwa sababu nilivyo ona hapa ni kwamba mtu anaweza kulima robo heka Alafu garama inaweza fika hata laki sita mpaka mpunga unakomaa
1. Moja shamba lipo mbali hivyo atakodi boda boda kwenda na kuludi,

2. Akivuna, utashangaa anapata debe mbili za kula tu.. 😁😁

3. Ataenda na boda boda, ili kufukunza ndege wasile mpunga, ( utashangaa kwa siku anatumia 7000-8000 kwa siku), piga hesabu Sasa mpaka mpunga ukauke ametumia garama kiasi gani??

4. Nipe location mkuu wapi upo, nije chapu,,,
Mafia sio sehemu ya kutegemea kilimo cha Mpunga, japo chakura kikuu ni mchele,naona una mapenzi na Mafia kama mimi,niambie unataka heka ngapi nikuunganishe na wahusika. Kwa sasa sipo Mafia ila July kama utakuwepo tutaonana Kilindoni nikujulishe samaki watam toka bahariyetu pendwa.
 
. Hapana mkuu, sihitaji shamba huku . Kama tu wazawa wenyewe waliobahatika kusoma shule vizuri wanatimua mbio 😅😅,

. Mda wangu umeisha mkuu, nimebakiwa na mwenzi mmoja tu ili nifungashe vilago,
 
. Watu wanahisi story ya kutunga, lakini hawa viumbe ni wachoyo mno, fitna za hali ya juu, ( mgeni ukifika lazima waaze kutengeneza plan ya kukuangusha kwa namna yeyote ile.

. Duhh ulifika visiwa vya Comoros 😋😋, natamani sana kufika Comoros, sema mimi ni muoga sana njia za baharini, ( natamani nipange siku nikafanye utalii)

. Kuna wavuvi wa Comoros walikuwa wanavua, fiber iliharibika wakapigwa na mawimbi mpaka kule Bweni. Waliokolewa wamechakaa mnooo, ingawa walipatikana bado wapo hai.
Yah nilienda mpaka moheli

Ukienda mgeni hapo uwekeze lazima upigwe zengwe,sijui kwa sasa labda kama walikuja kubadilika

Ova
 
Back
Top Bottom