Wilaya ya Mafia ina watu wachoyo na wabinafsi kuliko maeneo mengine

Wilaya ya Mafia ina watu wachoyo na wabinafsi kuliko maeneo mengine

Mbona Haina madhara kwa mtazamaji, labda ujifanye nawe gangwe.

Halafu ni fursa kwa wazee wa totoz na wanaosagula.
Vitoto kutoka malampaka, kishamapanda, nkololo, lagangabilili, Gambosi, wanakuja wamependeza kweli kweli. wengine hutokea mbali huko Lalago, Gitoha na kwingineko.

Cheki maujanja na mchawi mkuu wa mkoa anapotangazwa.

Yet, wakija pwani wanalalamika uchawi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wanajiona wao Bora?
Eti wasomi?

Kule kaliua na Urambo hata ukigonga bata , lazima umtafute mwenye bata tuombe radhi bila hivyo safari yenu hamfiki.

Mimi nikuwaona huko wanavyobehave, Huwa naishia kuwacheka
Hahaha!
Basi mkuu, imetosha.
Sisi sote watanzania.
 
Itakuwa hivyo mkuu, kwa sababu hivi visiwa vya Comoros vipo karibu sana na mafia hata taa zikiwaka usiku unaona,

Pia kuingia Comoros hakuhitajiki passport, ila kutoka Comoros kwenda France ndo utahitajika kuwa na passport. ( na ni sehemu ambayo meli kubwa za mizigo hupita hayo maneno hivyo Yawezekana walipita njia za mikato mikato mpaka kuwasili mafia.
Hii ni uongo wa wazi?
Komoro bila pasipoti huingii
Waburushi asili Yao ni Asia na sio Komoro.

Watu wa komoro ni wamakonde toka Mtwara na Nchumbiji.
Kama ilivyo asili ya watu wa Mafia ni wanyagatwa ambao ni sehemu ya kabila kubwa la Wandengestan
 
Duhhh, 🙂🙂🙂 basi watu wa ukanda wa bahari Yawezekana tabia zao ni moja.
Mkiambiwa huko kale kulikuwa na nchi iliitwa Azania ndio muelewe.

Ilitawala toka Kismayu mpaka Sofala hivyo athari zile za utamaduni wa kale na himaya bado zipo.

Hata bin said wa Zanzibar, alitawala pwani ya Afrika mashariki, athari zake za utawala wao zipo.

Zanzibar ya kweli haikuishia Visiwani.

Na Tanganyika ya kweli jumlisha Burundi, Rwanda na eneo lote kaskazini ya msumbiji.
 
zamani nilivyoishi pwani nilikuwa nafikiri kama wewe, kwanza niliona watu wa pwani ndio waelewa na civilized. nimekuja kuishi mkoani kwa muda fulani, kila nikirudi bongo na pwani nawaona watu wa huku washamba mno, hawajui maisha, hawana maisha, hawana pesa, hawana uhakika wa kula/maisha, uhakika wa kujenga, uhakika wa kumiliki ardhi n.k na hata wakiongea unawaona wapo backward mno yet wanajifanya wajuajiiiii na watu wa mjini. najua huwezi kujitambua kwa hilo and that is what well defines you.
Nina miaka 15 naishi mikoani, na hivyo vyote ulivyo andika sio shida kuvimiliki.

Ila sio kweli kwamba bara Kuna wastaharabu la hasha.

Kanda ya ziwa inaongoza kwa mauaji, ulozi, unyanyasaji wa kijinsia, mauaji ya vikongwe, Imani potofu za kishirikina.

Kanda ya nyanda za juu kusini
Wenyewe kafara hapa uwaambii kitu
Nondo kule mbeya.
Sumbawanga hakuna asiye jua ila mfipa hawezi jisifia ujinga

Ila Hawa ni Bora mara 100, kuliko Kanda ya ziwa kwenye kila angle

Kanda ya magharibi
Huku elimu bado na maendeleo ni duni.

Kanda ya kusini
Mwamko wa elimu hauko vizuri

Kanda ya kati
Sina Cha kuwazungumzia maana matatizo ya msingi ni Yale Yale.

Angalau Kanda ya kaskazini ukiitoa Manyara.

Sasa kipi ulichokiona bora bara ambacho pwani ni tatizo?

Kumbuka mkoa wa Simiyu unaongoza kwa utapia mlo na wastani wa Mwanamke mmoja kuzaa ni watoto 7
 
Mkuu huku, hata aje Muislamu kutoka bara, anatengwa , yani Kiujmla hawataki watu wa kutoka bara, na ukiwa dini tofauti na Uislam ndo kabisa kukubalika ni ngumu.

Kuna jamaa hapa ni wa bara, dini ni Muislamu, mpaka Sasa amepewa case ya kubambikwa ya kumbaka mwanafunzi,
Wa kisiju pwani nae akifika huko anatengwa au wa Nyamisati?
 
Wewe una kichaa kweli kishapu,ushetu kuna Uislam mwingi? We umechanganyikiwa sio bure,kuliko na Uislam mwingi ni pwani huko na kumejaa umaskini ujinga na udini
Kipi ambacho Kishapu au Ushetu kipo?
Wote matajili na ule ukame
Wote wasomi?
Wote wapagani?

sasa msingi wa hoja yako ni nini?
 
Hahaha!
Basi mkuu, imetosha.
Sisi sote watanzania.
Kweli mkuu upo sahihi
Mimi nilipotembelea kisiwa Cha ukerewe.

Niliyaangalia mazuri ya ukerewe
Hali ya hewa
Uoto wa asili
Mandhari ya kisiwa

Ila kwenye kundi tulilo enda wezangu walikuwa wanazungumzia Mabaya tu.

Oooh kisiwa maarufu ila paliko endelea kidogo ni Nansio tu
Na negativity nyingine

Hivyo perception ni muhimu
Ndio kama huyu jamaa kwenye hii mada
 
Kweli mkuu upo sahihi
Mimi nilipotembelea kisiwa Cha ukerewe.

Niliyaangalia mazuri ya ukerewe
Hali ya hewa
Uoto wa asili
Mandhari ya kisiwa

Ila kwenye kundi tulilo enda wezangu walikuwa wanazungumzia Mabaya tu.

Oooh kisiwa maarufu ila paliko endelea kidogo ni Nansio tu
Na negativity nyingine

Hivyo perception ni muhimu
Ndio kama huyu jamaa kwenye hii mada
Upo sahihi kabisa.
Kila sehemu ina uzuri na ubaya wake.
Na yote kwa yote jamii zote haziwezi kuwa sawa kwasababu mazingira ni tofauti, mila na desturi pia ni tofauti.

Ingawa kuna jamii kweli kuishi nazo ni mtihani sana, lakini tunachukuliana.
Ukiona sehemu inakushinda na kukuathiri kijamii basi unaondoka tu kiroho safi unaangalia mahala kwingine. Sidhani kama unaweza kushindwa kuishi kila unapokwendwa.

Hii hoja ya mtoa mada kuhusu kubambikiziwa kesi hasa hizi za wanafunzi yupo sahihi lakini wanafanya hivyo pale unapoingilia maslahi yao (Hasa kwa watumishi wa Serikali wenye nafasi za utendaji unaoingilia maslahi ya wenyeji/wafanya biashara. Kama ujuavyo katika jamii zetu mambo mengi yanafanyika, yaliyo halali na yasiyo halali.
 
Watu wa komoro ni wamakonde toka Mtwara na Nchumbiji.
Kama ilivyo asili ya watu wa Mafia ni wanyagatwa ambao ni sehemu ya kabila kubwa la Wandengestan
Mkuu, hili sikuwa nalifahamu.
Kumbe Comoro wenyeji wake ni kutoka umakondeni, nafikiri ni kwasababu ya utafutaji wao. Wale jamaa ni mahustler sana.

Kumbe wandengestan (wandengereko) pia ni jamii moja na hao wanyagatwa?

Asante kwa elimu.
 
Kinachosumbua Tanzania wala sio Ccm ila ni watu wa aina ya mtoa mada na kiu ya kanisa kutaka watu waishi kama wanyama wa polini wanatamani kila Mtu aishi kimbwa mbwa kinguruwe nguruwe hawapendi kuona jamii fulani ikitunza mila na tamaduni zake.

Mtoa mada taja mkoa uliyotoka tukutajie na Tabia zenu.
. Hizi siyo mila mkuu, uchoyo ni mila gani hiyo???, kama siyo Roho za kichawi tu... Kama na wewe upo miongoni mwa kabila hilo Badilika..

. Natokea mkoa wa IRINGA, Leta comment yako hapa 😋😋😋
 
Wewe jamaa Nyafwili umeisagia kunguni sana Mafia, angalia usije kupewa busha au mshipa. Nimepata mzuka wa kutembelea huko kujionea si kuambiwa .
. Ukitaka upewe busha huku, jaribu kuiba nazi Aiseeeeee, hii kesi ni mbaya sana. Ni afadhali uibe mke wa mtu 😁😁😁😁.

. Karibu sana mkuu 🤝 🤝
 
Jamii yoyote inayojali "mimi" badala ya "sisi" hujenga mazingira ya mgawanyiko, kutoaminiana, na kurudisha nyuma juhudi za pamoja hasa kwa wale wanaohamia maeneo mageni ili kuazisha maisha mapya.

. Ni wazi kuwa kila jamii ina tabia na hulka zake. Lakini kwa muda niliokaa hapa Mafia, nimegundua jambo moja la kusikitisha – watu wengi hapa wamejengeka katika mfumo wa uchoyo na ubinafsi wa hali ya juu.

HIZI NI TABIA ZA WATU WA WILAYA YA MAFIA
1. Ushirikiana wa hali ya juu, na ukipigwa kitu kizito huku yakupasa uludi bara moja kwa moja ili kupangua mashambulizi.​
​
2. Ni wilaya yenye samaki wengi sana lakini kama siyo mzawa wa Mafia utawasikia kwenye taarifa ya habari maana ni wachoya haswa, mafia ni wilaya ambayo unaweza kuwa na million mfukoni lakini ukalala na njaa.​
​
3. Wageni wote kutoka bara huitwa MBWA, hii ilihubiriwa na misikiti fulani hapa Mafia kipindi cha nyuma kidogo.​
​
4. Kama ni mtumishi wa serikalii, moja kwa moja unawekewa uadui na wenyeji, maana hawataki kabisa watu wageni kuja kufanya kazi Mafia​
​
5. Ni watu wenye tabia ya kuwabambikizia kesi watu wageni ( kesi ya kwanza (i) kufanya ngono na wanafunzi, (ii) kutembea na mke wa mtu, (iii) wakishindwa pande zote tajwa hapo juu, wanahamia kwenye tabia namba moja.​
​
6. Kama ni mgeni sahau kupata ardhi ya kujenga, vinginevyo wawe wamekupenda kutoka rohoni mwao na umejadiliwa kwa miaka kadhaa midomoni mwao kuwa unafaa kuuziwa ardhi au laa! .​
​
7. Ukifika mara ya kwanza, lazima utajulikana kuwa wewe ni mgeni maana idadi ya watu ni chache sana, hivyo hata Ukifanya kosa linasambaa mpaka kwa viongozi wa juu.​
​
8. Milango ya nyumba haifungwi na kufuri maana wanaamini kila mtu aliepo mafia ni mchawi, hivyo usalama ni asilimia 100000%​
​
9. Maduka hufunguliwa kuazia mida ya Saa nne asubuhi kwa sababu ya Uvivu walionao,​
​
10. Ukiachana na uvuaji wa samaki na dagaa, Kilimo chao ni mchele kiasi, njugu na nyanya kidogo, vitu vingine vyote vinatoka bara.​
​
11. Kuna baadhi ya vijiji wanaamini duniani kuna dini moja tu ambayo ni Uislam.​
​
12. Ni wilaya ambayo ina kilometers chache za lami sidhani kama hata 200 zinafika, na usafiri mkubwa kwa wale ambao hawana usafiri wao ni boda boda. Maana magari ya abiria sidhani kama yanafika 8.​
​
13. Vijana na wazee wa mafia wanapata hela nyingi sana kwenye uuzaji wa samaki lakini nyumba zao zimeezekwa na makuti, huku hela zao zikiwa zimabaki tu mifukoni bila matumizi yoyote yale.​
​
14. Mafia ni wilaya yenye ukosefu wa starehe za kidunia ( wadada kutoka bara Sasa wamegundua chimbo, maana naona wanakuja kwa kasi sana kutoa huduma ya utelezi wilayani mafia.​
​
15. Mafia ni wilaya ambayo iliwahi kumiliki mbunge mjinga zaidi "Ndugu KIMBAU" alikaa kwenye ubunge mda mrefu bila hata kujenga nyumba ya kuishi, Rais mustaafu KIKWETE Alivyoenda mafia aliomba aende kumtembelea mbunge huyo nyumbani kwake, mbunge kwa vile alikuwa hana nyumba aliamua kumpeleka Rais msikitini.​
​
Hii ndo wilaya ya Mafia na viunga vyake.​
Dah! Hiyo namba 15 imenifurahisha sana. 😁
 
Hii ni uongo wa wazi?
Komoro bila pasipoti huingii
Waburushi asili Yao ni Asia na sio Komoro.

Watu wa komoro ni wamakonde toka Mtwara na Nchumbiji.
Kama ilivyo asili ya watu wa Mafia ni wanyagatwa ambao ni sehemu ya kabila kubwa la Wandengestan
Nimekupata mkuu 👏👏👏👏

Nimejaribu kupitia kule CHATGPT.COM, nimekuta yafuatayo.

Je visiwa vya Comoros ni mali ya ufaransa???
Hapana, Comoros si mali ya Ufaransa, lakini kuna uhusiano wa kihistoria na kisiasa kati yao.

Maelezo kwa ufupi:
Comoros ilikuwa koloni ya Ufaransa kuanzia karne ya 19 hadi ilipopata uhuru mwaka 1975.

Baada ya uhuru, visiwa vitatu (Ngazija/Grande Comore, Ndzwani/Anjouan, na Mwali/Mohéli) vilijiunga na kuunda Umoja wa Visiwa vya Comoros.

Kisiwa cha Mayotte (Maore), ambacho ni sehemu ya visiwa vya Comoros kijiografia, kilichagua kubaki chini ya Ufaransa kupitia kura ya maoni. Hadi sasa:

Mayotte ni sehemu rasmi ya Ufaransa (imepewa hadhi ya "département" ya Ufaransa).

Comoros inapinga hali hiyo, na inaendelea kudai Mayotte kuwa ni sehemu halali ya taifa lao.



Kwa hiyo:
Visiwa vya Comoros (3 kati ya 4) vina serikali huru, na havimilikiwi na Ufaransa.

Mayotte tu ndiyo bado inamilikiwa na Ufaransa kama sehemu ya mipaka yao ya nje.

Je mayotte ni sehemu ya visiwa vya Comoros
Ndiyo, Mayotte (Maore) iko kijiografia ndani ya visiwa vya Comoros, lakini kisiasa ni sehemu ya Ufaransa.

Kwa ufupi:
1. Kijiografia (Jiografia)
Mayotte ni moja ya visiwa vinne vikuu vya kundi la visiwa vya Comoros vilivyoko katika Bahari ya Hindi kati ya Madagascar na Msumbiji.

Visiwa hivyo ni:
Ngazija (Grande Comore)
Ndzwani (Anjouan)
Mwali (Mohéli)
Maore (Mayotte)



2. Kihistoria na Kisiasa
Visiwa vyote vinne vilikuwa koloni la Ufaransa.

Mwaka 1975, Comoros ilipotangaza uhuru, visiwa vitatu tu (Ngazija, Ndzwani na Mwali) vilijiunga na kuunda taifa la Umoja wa Visiwa vya Comoros.

Mayotte ilikataa kujiunga, na wakaazi wake walipiga kura ya kubaki na Ufaransa.


3. Hali ya sasa
Comoros inadai Mayotte kama sehemu ya ardhi yake halali.

Ufaransa inaitambua Mayotte kama “Département” yake ya ng’ambo (sehemu ya Ufaransa kama ilivyo Paris au Marseille).

Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika wametambua dai la Comoros, lakini Ufaransa bado inaendesha Mayotte kama sehemu ya nchi yake.


Hitimisho:
Ndiyo, Mayotte ipo ndani ya visiwa vya Comoros kijiografia, lakini haimo katika taifa la Comoros kisiasa—badala yake, ni sehemu ya Ufaransa
 
Back
Top Bottom