Wilaya ya Mafia ina watu wachoyo na wabinafsi kuliko maeneo mengine

Wilaya ya Mafia ina watu wachoyo na wabinafsi kuliko maeneo mengine

Mi naona tujikite kwenye hoja namba 14 na 15 ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Mengine ni kawaida kwa watu wa pwani
14. Watoto wa kike na mishangazi wanatoka bara, wanaenda mafia kuvuna pesa za wavuvi na walima nazi ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜….

15. Hii story hata vijana wa mafia wa naijua, maana ukifika tu lazima upewe uhondo huu (nasikia mzee wa msoga alilalamika sana, inakuwaje unakosa hata nyumba) ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Jamii yoyote inayojali "mimi" badala ya "sisi" hujenga mazingira ya mgawanyiko, kutoaminiana, na kurudisha nyuma juhudi za pamoja hasa kwa wale wanaohamia maeneo mageni ili kuazisha maisha mapya.

. Ni wazi kuwa kila jamii ina tabia na hulka zake. Lakini kwa muda niliokaa hapa Mafia, nimegundua jambo moja la kusikitisha โ€“ watu wengi hapa wamejengeka katika mfumo wa uchoyo na ubinafsi wa hali ya juu.

HIZI NI TABIA ZA WATU WA WILAYA YA MAFIA
1. Ushirikiana wa hali ya juu, na ukipigwa kitu kizito huku yakupasa uludi bara moja kwa moja ili kupangua mashambulizi.​
​
2. Ni wilaya yenye samaki wengi sana lakini kama siyo mzawa wa Mafia utawasikia kwenye taarifa ya habari maana ni wachoya haswa, mafia ni wilaya ambayo unaweza kuwa na million mfukoni lakini ukalala na njaa.​
​
3. Wageni wote kutoka bara huitwa MBWA, hii ilihubiriwa na misikiti fulani hapa Mafia kipindi cha nyuma kidogo.​
​
4. Kama ni mtumishi wa serikalii, moja kwa moja unawekewa uadui na wenyeji, maana hawataki kabisa watu wageni kuja kufanya kazi Mafia​
​
5. Ni watu wenye tabia ya kuwabambikizia kesi watu wageni ( kesi ya kwanza (i) kufanya ngono na wanafunzi, (ii) kutembea na mke wa mtu, (iii) wakishindwa pande zote tajwa hapo juu, wanahamia kwenye tabia namba moja.​
​
6. Kama ni mgeni sahau kupata ardhi ya kujenga, vinginevyo wawe wamekupenda kutoka rohoni mwao na umejadiliwa kwa miaka kadhaa midomoni mwao kuwa unafaa kuuziwa ardhi au laa! .​
​
7. Ukifika mara ya kwanza, lazima utajulikana kuwa wewe ni mgeni maana idadi ya watu ni chache sana, hivyo hata Ukifanya kosa linasambaa mpaka kwa viongozi wa juu.​
​
8. Milango ya nyumba haifungwi na kufuri maana wanaamini kila mtu aliepo mafia ni mchawi, hivyo usalama ni asilimia 100000%​
​
9. Maduka hufunguliwa kuazia mida ya Saa nne asubuhi kwa sababu ya Uvivu walionao,​
​
10. Ukiachana na uvuaji wa samaki na dagaa, Kilimo chao ni mchele kiasi, njugu na nyanya kidogo, vitu vingine vyote vinatoka bara.​
​
11. Kuna baadhi ya vijiji wanaamini duniani kuna dini moja tu ambayo ni Uislam.​
​
12. Ni wilaya ambayo ina kilometers chache za lami sidhani kama hata 200 zinafika, na usafiri mkubwa kwa wale ambao hawana usafiri wao ni boda boda. Maana magari ya abiria sidhani kama yanafika 8.​
​
13. Vijana na wazee wa mafia wanapata hela nyingi sana kwenye uuzaji wa samaki lakini nyumba zao zimeezekwa na makuti, huku hela zao zikiwa zimabaki tu mifukoni bila matumizi yoyote yale.​
​
14. Mafia ni wilaya yenye ukosefu wa starehe za kidunia ( wadada kutoka bara Sasa wamegundua chimbo, maana naona wanakuja kwa kasi sana kutoa huduma ya utelezi wilayani mafia.​
​
15. Mafia ni wilaya ambayo iliwahi kumiliki mbunge mjinga zaidi "Ndugu KIMBAU" alikaa kwenye ubunge mda mrefu bila hata kujenga nyumba ya kuishi, Rais mustaafu KIKWETE Alivyoenda mafia aliomba aende kumtembelea mbunge huyo nyumbani kwake, mbunge kwa vile alikuwa hana nyumba aliamua kumpeleka Rais msikitini.​
​
Hii ndo wilaya ya Mafia na viunga vyake.​
Aasante kwa taarifa nilitaka kuja huko kuweka kifaa cha kukaushia dagaa .

Je nikija kwa utalii kuna tatizo ?
 
Kuna kipindi nilienda mafia..aisee... kazi ilianzia kupata get ya kulala...mafia Naima gest ni moja tu kwa issaya bia ndio kabisaa utaitafuta sana ...nilifika Kisiwa kimoja kinaitwa bwejuu...Hawa watu vyoo hawana..in short ant school jamii za mafia..ila Kuna hotel kubwa inaitwa shungimbili (thunder) ni ghali sana eastern Africa.
 
Aasante kwa taarifa nilitaka kuja huko kuweka kifaa cha kukaushia dagaa .

Je nikija kwa utalii kuna tatizo ?
. Huku dagaa ni maji chumvi na siyo tamu sana kwa kula... Ila kwa samaki ni wengi sana.... ( tatizo ni figisu ndo nyingi sana) kwa wageni.

. Hakuna shida mkuu, karibu sana, andaa bajeti yako tu..
 
Sababu kuu iliyopelekea uichukie mafia ni hiyo number 11,hizo nyingine ni zuga tu
Mimi siyo mdini mkuu,, sehemu zote nilizo weka red color Yawezekana ndo nilikasirika zaidi kwa sababu sisi ni (Watanzania)
 
Dah wazaramo hawa hawa au kuna wengine master ? Dada yangu kaolewa na mzaramo , huyo kiazi kuna siku alishanipigia simu eti nitume pesa ya hospital dada yangu kalazwa๐Ÿšฎ
Duuuuu hapa bongo siwez kuhama aisee ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
. Huku dagaa ni maji chumvi na siyo tamu sana kwa kula... Ila kwa samaki ni wengi sana.... ( tatizo ni figisu ndo nyingi sana) kwa wageni.

. Hakuna shida mkuu, karibu sana, andaa bajeti yako tu..
Asante
 
Kinachosumbua Tanzania wala sio Ccm ila ni watu wa aina ya mtoa mada na kiu ya kanisa kutaka watu waishi kama wanyama wa polini wanatamani kila Mtu aishi kimbwa mbwa kinguruwe nguruwe hawapendi kuona jamii fulani ikitunza mila na tamaduni zake.

Mtoa mada taja mkoa uliyotoka tukutajie na Tabia zenu.
 
Popote alipo kaa mwarabu,
sifa zake ndio hizo hizo. UVIVU, UMASKINI, UDINI UCHAWI, VISASI, UFIRA.JI
Mwarabu yupo Singida, Tabora, Shinyanga, Mwanza, Lalago, Maswa, Kishapu, Ushetu, Igunga, Nzega kwa wingi.

Hapo napo unataka kusema nini?
 
Mkuu, hivi hii mbina huwa haiwaathiri wasio wachawi wanaokuwa wanawatazama?
Mbona Haina madhara kwa mtazamaji, labda ujifanye nawe gangwe.

Halafu ni fursa kwa wazee wa totoz na wanaosagula.
Vitoto kutoka malampaka, kishamapanda, nkololo, lagangabilili, Gambosi, wanakuja wamependeza kweli kweli. wengine hutokea mbali huko Lalago, Gitoha na kwingineko.

Cheki maujanja na mchawi mkuu wa mkoa anapotangazwa.

Yet, wakija pwani wanalalamika uchawi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Wanajiona wao Bora?
Eti wasomi?

Kule kaliua na Urambo hata ukigonga bata , lazima umtafute mwenye bata tuombe radhi bila hivyo safari yenu hamfiki.

Mimi nikuwaona huko wanavyobehave, Huwa naishia kuwacheka
 
Back
Top Bottom